Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mimi mtu akinipa,nachukulia kama sadaka tu au msaada [emoji38]
Hivi huwa wana tafsiri NYINGINE eeh.?
Hehe hakunaga vya bure mama! Na wenyewe wanakuambia hakunaga urafiki wa kawaida kati ya mwanaume na mwanamke kwahiyo akikupa na hela ndiyo kabisa ujiongeze!

Hii dunia ya sasa watu hawana huruma! Kama mtu anaweza kumgeuza mwanaume mwenzie eti kisa tu kampa hela sembuse wewe mwanamke ambaye maumbile yanaruhusu!
 
Back
Top Bottom