Hahahahahah wanajeshi tena hawa vijana vijana ndio gari zao na wanavaaga tshirt na kombati zao za mabaka zile vioo chini ili muwaone😂Siyo Wote bana ni nini lakini [emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]
muwe smart sie hatuna shida na nyie wajeda.. ushamba wa kizami mpunguze sie tunawapenda sana kuwa heshimu sana tuTatizo Raia mnatukandia sana aisee daah
Pandisha file aisee wikend iende sawanapandsiah file hapa, kwa moja moja zitawachosha pia
AMEN🙂😅😅😅😅😅😅 aisee ni jambo la faraja kusikia haya maneno mazuri juu ya kijana wangu na mzee mwenzangu Holy Man inapendeza kama umeamua muimarishe udugu wa kaka na dada
Namkubali mnyamwezi wangu 🤣 ila tunashindwanaga kwenye kunisokomeza huko. Alishaleta mpaka baba kanituma 'hii siku nililia 😆Mshua ni Mjeda eh
Ila ni vyema kama holy man atakuwa braza in-law kama ambavyo mmejitanabaisha!AMEN🙂
😅
Kwahio kumbe mlimbwende upo In-Service 😂Tatizo Raia mnatukandia sana aisee daah
kuna mmoja kuna siku amenikuta na chuma kimoja nilichukua mahali, nimeingia ofisini kwao wanatoa tu macho 😀😀😀.. nimemaliza meeting natoka anakuja niulize mkubwa wao alikuwa ni mtu wangu, anasema unaendeshaje gari kali kuliko boss wako ( yeye kaishajivika u boss kwangu ), akaniambia nifanyie mpango niipate nikamuunganisha na agent alivyosikia bei 😀😀😀😀 hadi leo naona kaa kimya walipo muambia 99 million akafumba na kinywa chake kawa na adabu😂😂
Sis angu ni capt lakini anasukuma IST.
Mwingine kajitahidi kwa crown.
Kila kada kwenye hii nchi ina mapungufu yake! Hata kada uraiani kuna watu wema na wabaya sasa hauwezi kuijudge kada nzima na ndivyo ilivyo hata majeshini.Na kweli nyie ni bure ingawa sio wote. Wapo wachache sana walio smart ila sasa samaki mmoja akioza wotee
Acha nifunge kinywa tu 😀😀😀.. wanaboa labda hao dugu zakoMy father is smart.
Sisters too
Baby dad
I hope Karma is smart too.
Washamba Wamejaa ihumwa jamani
Na huko ulikoingia we kuja ishi na mtoto wa mtu sijui.Aahh yaani mimi lifestyle yangu naijuaga mwenyewe aise. Kwanza kupika naweza jipikia chakula cha wiki nzima naweka kwenye friji nakuwa natoa kidogo kidogo napasha nakula imeisha hiyo we call it a night.
Masuala ya kuishi na mtoto wa mtu anataka umpikie asubuhi mchana usiku na vyombo uoshe mwenyewe hakuna kazi anayokusaidia hata moja huo ni mzigo. Labda ninyi mawaifu matirio ndiyo mtaweza ili mkavikwe mataji mbinguni.
ni kweli, wapo ambao hadi unawafurahia maisha yao na familia zao ila wapo pasua kichwaKila kada kwenye hii nchi ina mapungufu yake! Hata kada uraiani kuna watu wema na wabaya sasa hauwezi kuijudge kada nzima na ndivyo ilivyo hata majeshini.
Mecheka mno. Hivi ni kwanini? Mungu atusaidie wanawakeDaah mnajiamini. Wengine sijui tuna shetani gani siku tukitembelewa na ugeni wa heshima tukipika ndiyo mara umeunguza mara umezidisha chumvi unaonekana bure kabisa wakati tukiwa tunajipikia wenyewe wala hatuharibu yaani shetani mchonganishi sana sijapata kuona. [emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]
Hebu wapuuzieni hao wanaowaletea ubabe na muache kulijudge jeshi lote! Ni kama nilivyosema kuwa kila kada ina wanaojielewa na wasiojielewa lakini sheria za jeshi kiujumla haziruhusu kuwaletea ubabe raia sema tu ndiyo hivyo hawawezi kukosekana wapuuzi wa kuvunja sheria.wana kale ka ubabe mie mjeshi kwamba hagusiku, kumbe ushamba tu
Bora JWTZ, tiss wanapenda utapeli tapeli. JWTZ wao hawaendi ile ki smart ila walau .. tiss smart ila janja janaja nyingi dk sifuri anakupiaga na hauna pa kumpeleka ndio ubabe waoHahaaa afadhali Jei Wii. Yaani nchi hii JWTZ na TISS ndiyo angalau ziko vizuri ila kuanzia Polisi, Magereza, Uhamiaji na Zimamoto nk wanatuangusha sana na wanatutukanisha wote.
Na kofia pembeni ya hand breakHahahahahah wanajeshi tena hawa vijana vijana ndio gari zao na wanavaaga tshirt na kombati zao za mabaka zile vioo chini ili muwaone😂
Yeah wengi wanaomba kutokana na ukosefu wa ajira kutokana na kufeli shule. Lakini kumbuka kuna waliosoma pia yaani jeshi lina kila kada mkuu kuanzia madaktari marubani wahandisi waalimu et al na hawa mara nyingi majukumu yao ni tofauti na ya hao waliofeli.Hii namna tunavyo pick na hao wajeda . Jeshi wengi wamekuwa wanakimbilia kama matokeo ya ukosefu wa ajira.. imejikuta inachukua vimeo vingi.. walio enda jeshini wakiwa smart hata kule ndio walio smart.
Hahaaa sasa hao wengi lengo lao ni kuwatisha yange yange wasiwasumbue kuwapigapiga mikono hovyo hovyo. Wala hawana shida na ninyi raia.Hahahahahah wanajeshi tena hawa vijana vijana ndio gari zao na wanavaaga tshirt na kombati zao za mabaka zile vioo chini ili muwaone[emoji23]
Duuh sasa kwanini ulikataa unaogopa madoso? Tena ninyi kina baba kanituma ndiyo hata hampatagi taabu ni mserereko tu!Namkubali mnyamwezi wangu [emoji1787] ila tunashindwanaga kwenye kunisokomeza huko. Alishaleta mpaka baba kanituma 'hii siku nililia [emoji38]
Hahaha siyo Kivile mkuuKwahio kumbe mlimbwende upo In-Service [emoji23]