Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

😂😂

Sis angu ni capt lakini anasukuma IST.
Mwingine kajitahidi kwa crown.
kuna mmoja kuna siku amenikuta na chuma kimoja nilichukua mahali, nimeingia ofisini kwao wanatoa tu macho 😀😀😀.. nimemaliza meeting natoka anakuja niulize mkubwa wao alikuwa ni mtu wangu, anasema unaendeshaje gari kali kuliko boss wako ( yeye kaishajivika u boss kwangu ), akaniambia nifanyie mpango niipate nikamuunganisha na agent alivyosikia bei 😀😀😀😀 hadi leo naona kaa kimya walipo muambia 99 million akafumba na kinywa chake kawa na adabu
 
Aahh yaani mimi lifestyle yangu naijuaga mwenyewe aise. Kwanza kupika naweza jipikia chakula cha wiki nzima naweka kwenye friji nakuwa natoa kidogo kidogo napasha nakula imeisha hiyo we call it a night.

Masuala ya kuishi na mtoto wa mtu anataka umpikie asubuhi mchana usiku na vyombo uoshe mwenyewe hakuna kazi anayokusaidia hata moja huo ni mzigo. Labda ninyi mawaifu matirio ndiyo mtaweza ili mkavikwe mataji mbinguni.
Na huko ulikoingia we kuja ishi na mtoto wa mtu sijui.
 
Daah mnajiamini. Wengine sijui tuna shetani gani siku tukitembelewa na ugeni wa heshima tukipika ndiyo mara umeunguza mara umezidisha chumvi unaonekana bure kabisa wakati tukiwa tunajipikia wenyewe wala hatuharibu yaani shetani mchonganishi sana sijapata kuona. [emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]
Mecheka mno. Hivi ni kwanini? Mungu atusaidie wanawake
 
wana kale ka ubabe mie mjeshi kwamba hagusiku, kumbe ushamba tu
Hebu wapuuzieni hao wanaowaletea ubabe na muache kulijudge jeshi lote! Ni kama nilivyosema kuwa kila kada ina wanaojielewa na wasiojielewa lakini sheria za jeshi kiujumla haziruhusu kuwaletea ubabe raia sema tu ndiyo hivyo hawawezi kukosekana wapuuzi wa kuvunja sheria.
 
Hahaaa afadhali Jei Wii. Yaani nchi hii JWTZ na TISS ndiyo angalau ziko vizuri ila kuanzia Polisi, Magereza, Uhamiaji na Zimamoto nk wanatuangusha sana na wanatutukanisha wote.
Bora JWTZ, tiss wanapenda utapeli tapeli. JWTZ wao hawaendi ile ki smart ila walau .. tiss smart ila janja janaja nyingi dk sifuri anakupiaga na hauna pa kumpeleka ndio ubabe wao
 
Hii namna tunavyo pick na hao wajeda . Jeshi wengi wamekuwa wanakimbilia kama matokeo ya ukosefu wa ajira.. imejikuta inachukua vimeo vingi.. walio enda jeshini wakiwa smart hata kule ndio walio smart.
Yeah wengi wanaomba kutokana na ukosefu wa ajira kutokana na kufeli shule. Lakini kumbuka kuna waliosoma pia yaani jeshi lina kila kada mkuu kuanzia madaktari marubani wahandisi waalimu et al na hawa mara nyingi majukumu yao ni tofauti na ya hao waliofeli.
 
Back
Top Bottom