Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Naelewa unachosema vizuri. Lina kila aina ya mtu ila wenzangu na mie ni wengi zaidi. Napenda nidhamu yao wana mazuri mengi zaidi kuliko mapungufu, na mapungufu ni ya mtu binafsiYeah wengi wanaomba kutokana na ukosefu wa ajira kutokana na kufeli shule. Lakini kumbuka kuna waliosoma pia yaani jeshi lina kila kada mkuu kuanzia madaktari marubani wahandisi waalimu et al na hawa mara nyingi majukumu yao ni tofauti na ya hao waliofeli.
Haha i bet your dad ni commissioned officer. Most smart soldiers ni officers.My father is smart.
Sisters too
Baby dad
I hope Karma is smart too.
Washamba Wamejaa ihumwa jamani
Ndio hivyo mkuu wanguIla ni vyema kama holy man atakuwa braza in-law kama ambavyo mmejitanabaisha!
Aahh kabisa. Kwanza hata huo muda wa kumhudumia mtoto wa mtu sijui hata naupata wapi.Na huko ulikoingia we kuja ishi na mtoto wa mtu sijui.
kuna officer wengine pasua kichwa kama hujui 😀😀😀.. katoto ka monduli hako baba yake atakua KanaliHaha i bet your dad ni commissioned officer. Most smart soldiers ni officers.
Aahh sijui ni kupanic tu hata sielewi. Anyway mimi siyo mpishi mzuri sana hivyo napata hofu ninapojua kuna mtu anataka kula chakula nilichopika basi nakuwa najiuliza daah sijui nimepatia sijui atakipenda yaani nawazaga kweli aisee.Hebu wapuuzieni hao wanaowaletea ubabe na muache kulijudge jeshi lote! Ni kama nilivyosema kuwa kila kada ina wanaojielewa na wasiojielewa lakini sheria za jeshi kiujumla haziruhusu kuwaletea ubabe raia sema tu ndiyo hivyo hawawezi kukosekana wapuuzi wa kuvunja sheria.
Yeah ndiyo maana nikasema most maana kote kote kuna pasua vichwakuna officer wengine pasua kichwa kama hujui [emoji3][emoji3][emoji3].. katoto ka monduli hako baba yake atakua Kanali
Hapo nilishasoma mashule yao msoto naujua japo kwa aslimia 1 🤣 nikaona mbona ngoma nzito? Cha kufia nini pumzi zenyewe za kukuDuuh sasa kwanini ulikataa unaogopa madoso? Tena ninyi kina baba kanituma ndiyo hata hampatagi taabu ni mserereko tu!
Unajitoa kwa ma LT wenzako au?Haha i bet your dad ni commissioned officer. Most smart soldiers ni officers.
Ukikuta kanali alafu komando na kama age nzuri anafika mbali na hasa kama hana makando kando kiutendaji 😁😁😁Yeah ndiyo maana nikasema most maana kote kote kuna pasua vichwa
Haha usikute mshua ni commando kabisa
KaziiiiAahh kabisa. Kwanza hata huo muda wa kumhudumia mtoto wa mtu sijui hata naupata wapi.
Pumzi unazotumia huko na huku zinatofuati gani kwani 😀😀😀Hapo nilishasoma mashule yao msoto naujua japo kwa aslimia 1 🤣 nikaona mbona ngoma nzito? Cha kufia nini pumzi zenyewe za kuku
Monduli nafataga la yuyu. Tulia brazaa 🤣kuna officer wengine pasua kichwa kama hujui 😀😀😀.. katoto ka monduli hako baba yake atakua Kanali
Mabio siyawezi. Muulize Karma mziki wa mabioPumzi unazotumia huko na huku zinatofuati gani kwani 😀😀😀
Kwani mie nimepinga asee najua unaifata maana unaipenda sanaaa 😀😀😀Monduli nafataga la yuyu. Tulia brazaa 🤣
Ni Pt 😉Yeah ndiyo maana nikasema most maana kote kote kuna pasua vichwa
Haha usikute mshua ni commando kabisa
Mbio anazochapa RRONDO kuna wajeda hawazichapi 😀😀😀Mabio siyawezi. Muulize Karma mziki wa mabio
Hahahaha baharia wanguKwani mie nimepinga asee najua unaifata maana unaipenda sanaaa 😀😀😀
Eee bwana vitamu vyenyewe ndio ivyoHahahaha baharia wangu