Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kuna basi moja linaitwa Arusha Express....dereva wa hili basi kitu ulichonifanyia pale maeneo ya KIA nikiwa natoka Hai kuja Arusha sitakusahau....

Alinitoa barabari nikaishia kupiga ukingo wa kalavati dogo....Kishindo kilivhotoka, wiki nzima nilikuwa naona mawenge nikiingia barabarani..
 
Hahahaha...hii Fekon me nahisi Mchina alishindwa kutamfa Fucking...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji87][emoji87]
 
Unatamani umrudie...mimi nilijisemea nikikuta Askari wa barabarani karibu nasimama nawaambia kilichotokea wang'ang'anie huko mbele. Na ningewaambia wale askari taarifa hii naifikisha kwa mkuu wenu....bahati yake sikukutana na askari maeneo ya karibu.
 
Bike gani kiongozi..
 
Kuna siku nilikuwa natoka mlandizi kwenda dar.

Nikafika Kongowe, sasa wakawa wanatengeneza barabara.

Likaja li Ester huko likanichomekea kwa mbele, ilibidi nisogee pembeni kabisa kumpisha.



Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
Tararibu mkuu....Eti Li Ester..[emoji1][emoji1][emoji119][emoji119][emoji1][emoji1][emoji1]
Mademu wanaoitwa Ester humu jukwaani watakuchukiaaa..
 
Hahahaha mie ndiyo maana nikisafiri na mabasi huwa napenda sana kukaa siti za mbele kabisa karibu na dereva na wale makonda! Yaani nikikosa siti ya mbele bora niahirishe safari niisogeze mbele kama sina haraka yaani huwa sitakagi kabisa siti ambayo iko nyuma ya siti nyingine aiseee!

Huwa panachangamka sana pale mbele hasa kwa hayo mabasi ya mikoa niliyoitaja yaani mwanzo mwisho stories kama zote! Sema siku hizi New Force kapoa sana siku hizi habari ya mjini ni Sauli na Al Saedy na mwenzao Imani Plus hawa ukiwakuta wanashindana utafurahi na roho yako!
 
Nimetaka na kucheka ila nimejizuia nashindwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole mkuu. Poole sana aisee. Halaf arusha express lilivyo bovu sasa. Hapo wanaambiana na konda nimempelekea moto akome next time. Yaan i feel u na nilivyo muoga. Nawaheshimu sana wenye ujasiri wa kuendesha magari na hawa watu. Sithubutu. Na unq ujasiri aisee. Ingenichukua muda kweli.
 
Unatamani umrudie...mimi nilijisemea nikikuta Askari wa barabarani karibu nasimama nawaambia kilichotokea wang'ang'anie huko mbele. Na ningewaambia wale askari taarifa hii naifikisha kwa mkuu wenu....bahati yake sikukutana na askari maeneo ya karibu.
Tatizo pia unaweza uwachome halaf hao matrafiki unakuta ni washkaji wana percent zao
 
Jahahahahahaha yaan mkuu nimefurahi maana tumefanana aisee. Toka primary siti yangu ni nyuma ya dereva. Hiyo inajulikana. Msichana peke yangu the rest ni boys. Tunapiga story na dereva balaaa. Sijui yupe dereva mzee juma wa dar express kama bado. Tunawanunulia na bia kbs ili wakimbize tuwahi kufika dethilamu.
Panachangamkaga balaa. Mkinunua vitu mnashare kama kawa. Na akikimbiza wala huogopi. Mi najua dereva hataliangushia upande wake[emoji23][emoji23] analilaza kwa konda. Upande wa konda sikaagi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…