Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Naona unaweka makaa tu 😀😀😀Kamatia hapo hapo
Usiachie[emoji3][emoji2089]
[emoji38]basi waage tunaenda mbeya, tukifika mitaa flani tunaweka kambi [emoji846][emoji846]
Jumapili baada ya ibada 🙂🙂🙂[emoji38]
Sawa
Tunaondoka lini?
Siyo ijumaa jioni?Jumapili baada ya ibada [emoji846][emoji846][emoji846]
Ijumaa[emoji1]Siyo ijumaa jioni?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kamatia hapo hapo
Usiachie[emoji3][emoji2089]
Sasa ile Discovery ilikuwa 3.0TDi V6. Nikajisemea looh leo naleteana ligi na big bro sjui itakuwaje [emoji28][emoji28]Tafuta Amarok,Touareg,Q7 3.0TDi V6. Jana katika misele ya nje ya mji nimekula kichapo na Amarok V6 sitaisahau! That thing is a monster! 😳😳😳
NdiyoIjumaa[emoji1]
Usiwaze, tafuta safariNimemiss lift yako.
Naomba basi lift,nitachangia Lita moja ya wese.
Ile iliandikwa 3.0TDV6. That much nakumbuka clearly. Probably ni Discovery 4 maana niliinotice tu taa zake kwenye side mirror nyuma yangu then label ya 3.0 TD V6 iko nyuma kulia. Sikukaa mda mrefu nyuma yake alianza kukata magari kama hana akili nzuri na mimi ujasiri huo sikuwa nao mpaka barabara ilipofunguka baada ya mlandizi ndio nikamlia timing.Discover 3 huwa ni 2.7TDV6 ILA disco 4 hiw ni 3.0TDV6 3 iko slow kiaina
Mkuu wangu naomba unishawishi kuchukua Audi Q7 [emoji3][emoji3][emoji3] nimefikilia kuwa na SUV moja, leo nilikuwa na mtoto akaja mtu mwenye fortuner akakisifia sana hasa ile kuwa juu .. zina uzuri gani Q7 au kwa SUV gani german ni chombo kinacho elekea na Q7, nilikuwa nawaza Discovery 4 ila kama sijavutiwa sana
Extrovert Deeboyfrexh
Nipige trip za town[emoji6].Usiwaze, tafuta safari
Uvumilivu unanishinda! Nilitaka nisitoke hadi DecemberIle iliandikwa 3.0TDV6. That much nakumbuka clearly. Probably ni Discovery 4 maana niliinotice tu taa zake kwenye side mirror nyuma yangu then label ya 3.0 TD V6 iko nyuma kulia. Sikukaa mda mrefu nyuma yake alianza kukata magari kama hana akili nzuri na mimi ujasiri huo sikuwa nao mpaka barabara ilipofunguka baada ya mlandizi ndio nikamlia timing.
Wengine wanabandika nimekuta gari nyingi wana bandika V8 au twin turbo hadi carina za V8Ile iliandikwa 3.0TDV6. That much nakumbuka clearly. Probably ni Discovery 4 maana niliinotice tu taa zake kwenye side mirror nyuma yangu then label ya 3.0 TD V6 iko nyuma kulia. Sikukaa mda mrefu nyuma yake alianza kukata magari kama hana akili nzuri na mimi ujasiri huo sikuwa nao mpaka barabara ilipofunguka baada ya mlandizi ndio nikamlia timing.
Mbona unashangaa??[emoji15]
Hahah mkuu kuskia hoteli umeshtuka?![emoji15]
[emoji38][emoji38][emoji38]Hahah mkuu kuskia hoteli umeshtuka?!