Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kamatia hapo hapo

Usiachie[emoji3][emoji2089]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu umenichekesha,
Sijui imewaza nini!

Humu tunachat tunafurahia safari,lakini sisi wengine bado tupo under control ya mzazi..kila siku lazima tureport na kulala nyumbani ..
Sasa ikitokea safari ndefu inayolazimu kulala nje inakuwa changamoto kupata ruhusa.
 
Tafuta Amarok,Touareg,Q7 3.0TDi V6. Jana katika misele ya nje ya mji nimekula kichapo na Amarok V6 sitaisahau! That thing is a monster! 😳😳😳
amarok_aventura_01_copy.jpg
Sasa ile Discovery ilikuwa 3.0TDi V6. Nikajisemea looh leo naleteana ligi na big bro sjui itakuwaje [emoji28][emoji28]
 
Discover 3 huwa ni 2.7TDV6 ILA disco 4 hiw ni 3.0TDV6 3 iko slow kiaina
Ile iliandikwa 3.0TDV6. That much nakumbuka clearly. Probably ni Discovery 4 maana niliinotice tu taa zake kwenye side mirror nyuma yangu then label ya 3.0 TD V6 iko nyuma kulia. Sikukaa mda mrefu nyuma yake alianza kukata magari kama hana akili nzuri na mimi ujasiri huo sikuwa nao mpaka barabara ilipofunguka baada ya mlandizi ndio nikamlia timing.
 
Mkuu wangu naomba unishawishi kuchukua Audi Q7 [emoji3][emoji3][emoji3] nimefikilia kuwa na SUV moja, leo nilikuwa na mtoto akaja mtu mwenye fortuner akakisifia sana hasa ile kuwa juu .. zina uzuri gani Q7 au kwa SUV gani german ni chombo kinacho elekea na Q7, nilikuwa nawaza Discovery 4 ila kama sijavutiwa sana

Extrovert Deeboyfrexh

Jaribu kuwaza Defender P400 unaweza shawishika [emoji16][emoji16]
 
Ile iliandikwa 3.0TDV6. That much nakumbuka clearly. Probably ni Discovery 4 maana niliinotice tu taa zake kwenye side mirror nyuma yangu then label ya 3.0 TD V6 iko nyuma kulia. Sikukaa mda mrefu nyuma yake alianza kukata magari kama hana akili nzuri na mimi ujasiri huo sikuwa nao mpaka barabara ilipofunguka baada ya mlandizi ndio nikamlia timing.
Uvumilivu unanishinda! Nilitaka nisitoke hadi December
 
Ile iliandikwa 3.0TDV6. That much nakumbuka clearly. Probably ni Discovery 4 maana niliinotice tu taa zake kwenye side mirror nyuma yangu then label ya 3.0 TD V6 iko nyuma kulia. Sikukaa mda mrefu nyuma yake alianza kukata magari kama hana akili nzuri na mimi ujasiri huo sikuwa nao mpaka barabara ilipofunguka baada ya mlandizi ndio nikamlia timing.
Wengine wanabandika nimekuta gari nyingi wana bandika V8 au twin turbo hadi carina za V8
 
Back
Top Bottom