Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Jana ulifanya uvuvi ufukweni, ukapata samaki mkubwa.πππ huu uchovu wa bed mkuu jana ijumaaa
Nimemwona mnyama[emoji847]
Nilikuwa kutembea duniani hukoUkienda wapi[emoji3][emoji848]
Nimeingia mjini, hakuna foleni ila hapa tabata reli hadi buguruni
Sijui kuna shida gani but tunatembea
Ukifika kigoma naomba lift nirud kwetu IringaNimetoka lindi hadi mbeya kupitia songea kisha mbeya-iringa-dodoma then kigoma kuja tena dom then dom dar then dar lindi gari imetembea si mchezo
Mmmmmh!πππ huu uchovu wa bed mkuu jana ijumaaa
Nimeshaenda na kurudi mkuuUkifika kigoma naomba lift nirud kwetu Iringa
Mawazo yako tu ππMmmmmh!
π¨πΏβπ¦³π¨πΏβπ¦³π¨πΏβπ¦³π¨πΏβπ¦³π¨πΏβπ¦³
Mawazo yangu yanasemaje?Mawazo yako tu ππ
yameguna ππππMawazo yangu yanasemaje?
Basi ni hivyo tuyameguna ππππ
Mimi naamini gari usipoigongagonga hovyo body inadumu sana. Gari za siku hizi hazijaundwa kubondwabondwa.
Mwanamke anahitaji vitu viwili anenepe: chakula kizuri na kupendwa vizuri, apate amani ya moyo. Chagua kimoja nikupatie.
Okeyy sawa mkuuNimeshaenda na kurudi mkuu
Njoo upate show ya kibabeBaharia usiye na kazi mbovu twenzetu kuzurula ππView attachment 1976411
Muhimu muhimu hiii.. dk ya 94 + wakajichanganya kipa hayupo gorini wala beki wote walipanda mbele πππJana ulifanya uvuvi ufukweni, ukapata samaki mkubwa.