Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Jana ulifanya uvuvi ufukweni, ukapata samaki mkubwa.😀😀😀 huu uchovu wa bed mkuu jana ijumaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana ulifanya uvuvi ufukweni, ukapata samaki mkubwa.😀😀😀 huu uchovu wa bed mkuu jana ijumaaa
Nimemwona mnyama[emoji847]
Nilikuwa kutembea duniani hukoUkienda wapi[emoji3][emoji848]
Nimeingia mjini, hakuna foleni ila hapa tabata reli hadi buguruni
Sijui kuna shida gani but tunatembea
Ukifika kigoma naomba lift nirud kwetu IringaNimetoka lindi hadi mbeya kupitia songea kisha mbeya-iringa-dodoma then kigoma kuja tena dom then dom dar then dar lindi gari imetembea si mchezo
Mmmmmh!😀😀😀 huu uchovu wa bed mkuu jana ijumaaa
Nimeshaenda na kurudi mkuuUkifika kigoma naomba lift nirud kwetu Iringa
Mawazo yako tu 😀😀Mmmmmh!
👨🏿🦳👨🏿🦳👨🏿🦳👨🏿🦳👨🏿🦳
Mawazo yangu yanasemaje?Mawazo yako tu 😀😀
yameguna 😀😀😀😅Mawazo yangu yanasemaje?
Basi ni hivyo tuyameguna 😀😀😀😅
Mimi naamini gari usipoigongagonga hovyo body inadumu sana. Gari za siku hizi hazijaundwa kubondwabondwa.
Mwanamke anahitaji vitu viwili anenepe: chakula kizuri na kupendwa vizuri, apate amani ya moyo. Chagua kimoja nikupatie.
Okeyy sawa mkuuNimeshaenda na kurudi mkuu
Njoo upate show ya kibabeBaharia usiye na kazi mbovu twenzetu kuzurula 😆😎View attachment 1976411
Muhimu muhimu hiii.. dk ya 94 + wakajichanganya kipa hayupo gorini wala beki wote walipanda mbele 😀😀😀Jana ulifanya uvuvi ufukweni, ukapata samaki mkubwa.