Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nilifika mwaka jana hapa na hiyo mitaa
Mie huwa naenda mara moja moja kupanda nikipamiss. Wakati naishi huko nilikuwa napanda karibu kila wiki ila tangu nilivyohama imekuwa ngumu kuenda mara kwa mara.

Kuna siku niliwaomba wale walinzi wanipigishe tour mule ndani plus kuingia kwenye hilo dubwasha. Yaani ukipanda huko kwenye hilo pira hadi bahari unaiona mubashara ileee.
 
"nikiingia kwenye Ofisi zenye maair-condition nashangaa nakaa sana hata kama nina mishe"

Kati ya mvua na jua bora nini?

What's up Mzizima.
What's up DarSlum jiji la wavuja jasho.

-Kaveli-
Hahaha!
Karibu ofisini kwangu mkuu..ukae Hadi uchoke,huku tukijadili road trip.

Kati ya mvua na jua mnapenda?
Mbona mnanichanganya wengine jua wengine mvua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

The road monster!

Mguu kulia, mguu kati. Kisahani mkoba!

Nissan fuga inafuga matumizi.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…