Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Pale hawana akili, huwezi jua mtu kwa kumtazama tu. Wengine tunao kunywa maji ndio wanaonaga kama mafala. Siku moja walinizingua kisa sandals, nikaa nje kwenye gari yangu nilipomaliza nikarudi kwa manager wao nikamchana, respect niliondoka saa mbili kwa hasira makunywa maji tu, badae wanakuja niomba nauli 😀😀😀Bambalaga, nilikuwepo pale last month.. mabaunsa wao miyeyusho sana.. wakikuona kijana kijana au wa castle lite 2 unakunywa masaa 3 huingii.. kuna jamaa yetu walimzuia bahati nzuri baunsa mmoja nafahamiana nae alikuwa mkoa fulani kipindi cha nyuma ndio nikamuomba akamuachia jamaa aingie [emoji3]
Sio mimi huyo mkuuMzee nasikia una mapenzi sana na mjapan ukaamua uweke carpet zake kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1978600
Sent from my phone using JamiiForums mobile app
Hapa nimekusoma, tuanzishe TISS yetuBrother.. Mamlaka hapana, wengine tunapenda sana giza kuliko mwanga, tuna principles pia katika maisha yetu "anonymous is the key".
Ndio maana kwenye comment yangu pale nilisema.. kila mtu analitumikia taifa kwa namna fulani fulani, awe ni askari ama sio askari.
Msitusimange jamani😂Halafu nyie watu wa mbeya bhana !!! Huwa mnakuja dar chuo tu kwa mara ya kwanza[emoji1787]
ila utaolewa dar na utazalia darMsitusimange jamani😂
mimi hata chuo sijasoma Dar,you can imagine niko mshamba kiasi gani😆
Basi una pesa mkuu. Hii nchi ukitaka uishi vizuri basi uwe na mamlaka au kama siyo mamlaka basi pesa au vyote kwa pamoja la sivyo daah.Kupambania mamlaka ni hatari sana kwa ustawi wa taifa hata familia. Mbona wengine tunaishi vizuri na hatuna hayo mamlaka
Nina mpango wa kurudi Mbeya.Dar kulivyo na fukuto la joto,kuzaa tu itakuwa kasheshe,,mbona kiumbe atatokota na hili joto.ila utaolewa dar na utazalia dar
Halafu hivi eti kati ya M Performance na M Competition ipi iko Vizuri zaidi
Sema nina mpenzi kila idara 😀😀😀 na taasisiBasi una pesa mkuu. Hii nchi ukitaka uishi vizuri basi uwe na mamlaka au kama siyo mamlaka basi pesa au vyote kwa pamoja la sivyo daah.
M-Power kama waziitavyo 😀😀 Competition ina ziada flani hivi, huenda ikawa bora zaidi. Sijaa googleHalafu hivi eti kati ya M Performance na M Competition ipi iko Vizuri zaidi
Dar kama majiNina mpango wa kurudi Mbeya.Dar kulivyo na fukuto la joto,kuzaa tu itakuwa kasheshe,,mbona kiumbe atatokota na hili joto.
Nimeshayanywa,yanatosha sasa.Dar kama maji
Kluger gani kwanza mnazungumzia? Isije kuwa ni hizi L na V ambazo hata NCOs kama macorporal na masergeant wanaafford ila kama ni hizi new model hapo sawa!Hizo ndinga za ma-major ma luteni kanali kwenda juu huko
Hao mkwanja wao mzito
Hadi utuachie mtoto ... acha haraka hizoNimeshayanywa,yanatosha sasa.
Oohh Sawa[emoji3][emoji3] sio uaskari peke yake Karma
Major na Luteni kanali wana hela gani bwanaaa weeee 😀😀..Kluger gani kwanza mnazungumzia? Isije kuwa ni hizi L na V ambazo hata NCOs kama macorporal na masergeant wanaafford ila kama ni hizi new model hapo sawa!
😄Hadi utuachie mtoto ... acha haraka hizo
Atakula anachokula mnyunyiza mbengu 😊😊😄
Hunitakii mema,
Atakula nini mtoto huku Dar?Joto?