Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Diesel[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kawe kanatunia Nini eti [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan wakikiwekea diesel hiko kidude hakitofika ata 40km/hDiesel[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan wakikiwekea diesel hiko kidude hakitofika ata 40km/h
Zina raha hapa kwetu tu, nchi za wenzetu huko vijana hawataku at kuzisikia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila gari zinazotumia diesel zina Raha yake,huwa naziheshimu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15]Zina raha hapa kwetu tu, nchi za wenzetu huko vijana hawataku at kuzisikia.
Ukisema tu diesel, anaziba pua kana kwamba kasikia kijambo kikali! [emoji23]
Kule oil Bei Chee, alafu sasa wanapendelea zile ndinga za cc kubwa alafu petrol.
Kumbe!Kule oil Bei Chee, alafu sasa wanapendelea zile ndinga za cc kubwa alafu petrol.
Gari ikishiba hp alafu Petrol huwa tamu Sana.
Safi Sana.Holy Man ISO M.CodD wakuu lile tuta mlilonionya halina alama nimelipiga Jana nikiwa 100+kph 😂😂😂😂🙌🙌 nimelishtukia nikiwa na kama 140kph hivi.
Njia hii iko hovyo sana kabla ya Gairo ukitoka Gairo ndio imetulia sana halafu unakuana na tuta bila warning
Premio 😊Zina raha hapa kwetu tu, nchi za wenzetu huko vijana hawataku at kuzisikia.
Ukisema tu diesel, anaziba pua kana kwamba kasikia kijambo kikali! [emoji23]
Una funguo ya geti lipi? Nitaingia kwa kuruka hata ukuta 😀Huendi mbinguni
Utaruka ukuta eeh 😋😋😋Una funguo ya geti lipi? Nitaingia kwa kuruka hata ukuta 😀
BTW sio mbaya maana umepata ka experience , hata ukija sikia story kupahusu unacho cha kuchangia.
Buigiri ,?msafara ukitokea wapi usiku huu?Duuh wakuu nimesikia kuna ajali imetokea jioni hii maeneo ya Buigiri basi la Tashriff lililokuwa linatoka Tanga kuelekea Dodoma limegonga bodaboda na kumuua hapo hapo na dereva kakimbia! Eti dereva wa basi alikuwa anajaribu kuyapita magari yaliyokuwa yamesimamishwa sababu ya msafara ndiyo akamvaa huyo bodaboda aliyekuwa anavuka ng'ambo kuelekea kwake!
Dah apumzike kwa amani🙏....Duuh wakuu nimesikia kuna ajali imetokea jioni hii maeneo ya Buigiri basi la Tashriff lililokuwa linatoka Tanga kuelekea Dodoma limegonga bodaboda na kumuua hapo hapo na dereva kakimbia! Eti dereva wa basi alikuwa anajaribu kuyapita magari yaliyokuwa yamesimamishwa sababu ya msafara ndiyo akamvaa huyo bodaboda aliyekuwa anavuka ng'ambo kuelekea kwake!
Safari njema mkuu....Vitz imenga'aaa✌...hakikisha unaipumzisha mkuu Afu natumai unatumia coolant na sio maji😁View attachment 2001142
Dom-Babati
Safari njema mkuu....Vitz imenga'aaa[emoji111]...hakikisha unaipumzisha mkuu Afu natumai unatumia coolant na sio maji[emoji16]
Duh vitz inapiga kazi ivyo hongera sana utafika upo hoiNimefika salama mkuu kama nusu saaa hivi iliyopita,inapumzika usiku wa leo tu kesho mapema inarudi Dar [emoji16]