Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila gari zinazotumia diesel zina Raha yake,huwa naziheshimu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zina raha hapa kwetu tu, nchi za wenzetu huko vijana hawataku at kuzisikia.

Ukisema tu diesel, anaziba pua kana kwamba kasikia kijambo kikali! [emoji23]
 
Duuh wakuu nimesikia kuna ajali imetokea jioni hii maeneo ya Buigiri basi la Tashriff lililokuwa linatoka Tanga kuelekea Dodoma limegonga bodaboda na kumuua hapo hapo na dereva kakimbia! Eti dereva wa basi alikuwa anajaribu kuyapita magari yaliyokuwa yamesimamishwa sababu ya msafara ndiyo akamvaa huyo bodaboda aliyekuwa anavuka ng'ambo kuelekea kwake!
 
Buigiri ,?msafara ukitokea wapi usiku huu?
 
Duuh wakuu nimesikia kuna ajali imetokea jioni hii maeneo ya Buigiri basi la Tashriff lililokuwa linatoka Tanga kuelekea Dodoma limegonga bodaboda na kumuua hapo hapo na dereva kakimbia! Eti dereva wa basi alikuwa anajaribu kuyapita magari yaliyokuwa yamesimamishwa sababu ya msafara ndiyo akamvaa huyo bodaboda aliyekuwa anavuka ng'ambo kuelekea kwake!
Dah apumzike kwa amani🙏....
 
IMG_3159.jpg

Dom-Babati
 
Back
Top Bottom