Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Loh! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
 
Loh! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
Yaani petro stations kuna comedy za kila aina..
Wengine wakiona bei ya mafuta wanaanza kutukana viongozi wa serikali..atatukana hadi anaondoka.

...........................................
We jamaa ukifika nitafute tunywe bia mbili tatu.
 
Hizo walitakiwa waweke 260kph...sema Mjapan ana akili ukianza kupanda kuanzia 160+ unaona kabisa gari inaachana na lami
Gari nyingi hakuziwekea anti-roll kama ya mjerumani halafu sio nzito
Njoo tuiwekee kiraka, hakuna hatakae gundua Mali inakuwa kama imetoka Fuji Heavy Industries.
hahahahah wahuni sio watu😂 kilaka cha ngano na supagluu😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…