ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Naona kweli siku hIzi unapiga vitu maana umeshusha maneno leo [emoji28]Yaani petro stations kuna comedy za kila aina..
Wengine wakiona bei ya mafuta wanaanza kutukana viongozi wa serikali..atatukana hadi anaondoka.
...........................................
We jamaa ukifika nitafute tunywe bia mbili tatu.
My thoughts exactly [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eeh Kei cars sa
mjapani ni K kweri kweri[emoji23]
Ukajiwazie ni cc1300 [emoji28]Haka bwana kuna 130i sasa potea njia uwe hujui hio 130i maanake nini!
Ndo hivyo jamaa hajakubali kushindwaDuh kwamba kununua Cruiser siwezi hata Sura inishinde?!!
[emoji23][emoji23]Naona kweli siku hIzi unapiga vitu maana umeshusha maneno leo [emoji28]
Yani ukirudi mjini mwili wote na koo vinauma..Na ukianza hapo ni non stop mpaka January[emoji1787]
Ngoja tuone ratiba, ningependa tukiwashe pamoja mkuu
PG itabidi nikae nyuma yako tawape shida kidogo Wajapan..Mkuu heshima yako. Na mimi natoka siku hio hio muda huo huo.
Daah hata mm natoka trh io muda io tungeongozana sema mm na Vits mtanipiga gepu la maana...PG itabidi nikae nyuma yako tawape shida kidogo Wajapan..
Alafu tukiingia Moshi tukapoze kiu pale Hugo's au Moshi Pazuri..
Hehehehe sio mbaya we kanyaga kibati pumzi ikiisha utatukuta Hugo's na mbuzi itakuwa tayari mezaniDaah hata mm natoka trh io muda io tungeongozana sema mm na Vits mtanipiga gepu la maana...
Yaani tusio na hela tuna nongwa asee [emoji1787][emoji1787]Wazee wa full tank huwa mara nyingi wanaacha chenji.
Hawana shida kabisa ,zaidi anaweza kushuka akapiga stori huku mnamjazia.
Kuna gari zinashindilia wese jamani[emoji119],
Sasa hawa wenzangu na mimi wa tulita nne twa elfu 10 yaani atakusumbua hadi utajuta kumhudumia.
Mara pump mbona imechelewa kuzunguka au umesogeza mbele,,oh usinijazie upepo,,hadi unajiuliza hivi kaelfu 10 kake lita nne namjaziaje upepo!.
Wengine tangia gari zinunuliwe hazijui full tank [emoji2][emoji2]Aah kulaleki [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sema tuache utani kuna pump zinakimbia mpaka unahisi unapigwa, bora full haidanganyi nozzle ikikata unajua mmefika mahala pake [emoji1787][emoji1787]
😅😅😅 mbeya ambassador umeshasema nani abisheMbeya nzima na Tanzania kwa ujumla[emoji846]
Unaweza kukuta juu kule tank limetoboka siku ukijaza full yakamwagika [emoji28][emoji28]Wengine tangia gari zinunuliwe hazijui full tank [emoji2][emoji2]
[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]PG itabidi nikae nyuma yako tawape shida kidogo Wajapan..
Alafu tukiingia Moshi tukapoze kiu pale Hugo's au Moshi Pazuri..
Naona kuna haja ya kupin hii tarehe na muda maana wadau wengi humu watakuwepo.Yani ukirudi mjini mwili wote na koo vinauma..
Tutafutane tu mkuu tarehe hizo..
Last trip ya mchana kuna IST ilinikata, sikuiona tena!Daah hata mm natoka trh io muda io tungeongozana sema mm na Vits mtanipiga gepu la maana...
Plus kama umetusoma vizuri usiku hatukimbiagi mkuu, mwendo tunaouendesha night ni wa kawaida sana hakuna gari isiyouwezaLast trip ya mchana kuna IST ilinikata, sikuiona tena!
Kama gari iko vizuri na wewe una uwezo mzuri mkuu unaweza kufanya wonders
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28] mbeya ambassador umeshasema nani abishe
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani tusio na hela tuna nongwa asee [emoji1787][emoji1787]