Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Yaani petro stations kuna comedy za kila aina..
Wengine wakiona bei ya mafuta wanaanza kutukana viongozi wa serikali..atatukana hadi anaondoka.

...........................................
We jamaa ukifika nitafute tunywe bia mbili tatu.
Naona kweli siku hIzi unapiga vitu maana umeshusha maneno leo [emoji28]
 
Naona kweli siku hIzi unapiga vitu maana umeshusha maneno leo [emoji28]
[emoji23][emoji23]
Ah kupambana na wateja wasumbufu na hela hawana ni kipaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maana namchana mteja kuwa wewe huna hela wewe.,akisema oh sitakuja tena nasema sawa tu sasa elfu 5 unanitisha nayo,inatesa pump zetu bure[emoji12](kidding)
Inabidi nirudi shule nikasome kwanza biashara na customer care..[emoji38]


...............
Nimeshusha maneno eeh!?
Siku nikinywa bia sijui nitakuwaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wazee wa full tank huwa mara nyingi wanaacha chenji.
Hawana shida kabisa ,zaidi anaweza kushuka akapiga stori huku mnamjazia.
Kuna gari zinashindilia wese jamani[emoji119],


Sasa hawa wenzangu na mimi wa tulita nne twa elfu 10 yaani atakusumbua hadi utajuta kumhudumia.
Mara pump mbona imechelewa kuzunguka au umesogeza mbele,,oh usinijazie upepo,,hadi unajiuliza hivi kaelfu 10 kake lita nne namjaziaje upepo!.
Yaani tusio na hela tuna nongwa asee [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom