Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nani aliibuka kidedea hapo baina ya farasi mweupe na huyo bibi kizee wa kijerumani?

Sema weaving huwa tamu ila iwe muda ambao hamna jam kubwa kama usiku huo mkeka huwa mtamu kweli yani! Hio njia ukiipita kuanzia saa 4.30 usiku utapapenda.
Hahaaa eti bibi kizee wa kijerumani, huo sasa ni utani wa ngumi. Hata sijui mwanzo nilikuwa nao sambamba naenjoy ligi yao, ila baadaye wakapepea sijui nani aliibuka mshindi huko mbele.
Hii ligi yenu mkiipeleka kwenye ile thread itapendeza sana.
 
😳😳😇😇😎😎🔥🔥
 
Dah imeniuma sana miss pablo bianco umetoroka kijanja😅 wakati nilikuwa navizia chance ya udereva tuingie wote Moshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…