RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #13,201
Utajificha mvua chini ya lori wewe,hio njia sio!Nani aliibuka kidedea hapo baina ya farasi mweupe na huyo bibi kizee wa kijerumani?
Sema weaving huwa tamu ila iwe muda ambao hamna jam kubwa kama usiku huo mkeka huwa mtamu kweli yani! Hio njia ukiipita kuanzia saa 4.30 usiku utapapenda.