Sasa mimi huwa mnanikera, nakupa 20,000 halafu unaniuliza yote? Like seriously V6 unaniuliza 20k kwamba nitaweka 12,000 au?Angesema tangu mwanzo,,siyo anabadilisha kiasi wakati mtu alishaondoka na anabadilisha kwa kumung'unya mdomo badala ya kusema tu kwa nguvu kwamba nataka ya elfu 5.
Tano na tatu inachanganyaAlijieleza kuwa aliskia 50 sema ana mawazo sijui blaah blaah alikuwa na kipengele. Ilibidi nichukue namba yake ili nikiwa fresh nimcheki
Hahaa, Jambo.
Hio 5,000 iliobaki ndio ilikuwa ya kutafutia hela ya kurudi aweke full tank.Sasa yule mteja alitoa elfu 10 ,kumbe ametamka awekewe ya elfu 5 wakati pump attendant ashaondoka kwenda kufungua gari....si akawekewa yote ya elfu 10!Alooo hapakutosha pale sheli😂😂😂😂😂😂😂.,akaanza kudai elfu 5 yake huku akitoa matusi yote.
Wanaume tafuteni hela jamani.
Atawapiga wengine afidie.Tano na tatu inachanganya
Mimi huwa nawasisitiza wamuulize mteja mara mbili kwa mkono kama ni tano au tatu ili baadaye tusilaumiane.
Hapo hakuna namna ni aidha umhurumie uilipe hiyo 20,ama alipe yeye au wese lililozidi lichujwe.
Ilitusumbua sana hii brother,mteja amekuja na elfu 10 yake akawekewa yote baadaye anasema oh ulipokuwa unaenda nilisema elfu 5.Sasa mimi huwa mnanikera, nakupa 20,000 halafu unaniuliza yote? Like seriously V6 unaniuliza 20k kwamba nitaweka 12,000 au?
😂😂😂😂Hio 5,000 iliobaki ndio ilikuwa ya kutafutia hela ya kurudi aweke full tank.
😂Atawapiga wengine afidie.
Chema, AminAkupe kifo sasa.
Anawekaga ya elfu tano tano kila siku...nimeikariri ile passo.Hio 5,000 iliobaki ndio ilikuwa ya kutafutia hela ya kurudi aweke full tank.
Ila wengine wanakuwa waaminifu wanaleta hiyo hela taratibu.Alijieleza kuwa aliskia 50 sema ana mawazo sijui blaah blaah alikuwa na kipengele. Ilibidi nichukue namba yake ili nikiwa fresh nimcheki
Kipato cha Wabongo wengi kinaishia humo. Gari za kuanzia 2016 ziko juu ya bajeti ya Watanzania wengi.Fashion ya magari iko under controling ya nini? Ni Bei, Madalali au mob psychology ?
Mfano Hizi Crown zipo muda mrefu tu japan since 2005 lakini zimetamba sana kuanzia miaka ya 2016(nadhani) na sasa kama vile zinaishia ishia. So kwanini zisitambe before 2016 au early 2023.
Sijui nitaeleweka kweli 😅
Wengi wetu wa vipato vya kati huwa hatu afford gari za above 35M kwa wastani! Gari nyingi ziko chini ya humo Vanguard, Harrier, Crown,Grand Vitara,Outlander, vile vibenz c200, audi a4, bmw 1,3 series n.k nyingi unakuta za 10yrs or above.Kipato cha Wabongo wengi kinaishia humo. Gari za kuanzia 2016 ziko juu ya bajeti ya Watanzania wengi.
Sawa sawa. Lakini kile nilichotaka nikiweke hapa bado sijaeleweka. Nazungumzia hizo hizo za miaka hio ya nyuma. Nitafafanua vizuri subiriKipato cha Wabongo wengi kinaishia humo. Gari za kuanzia 2016 ziko juu ya bajeti ya Watanzania wengi.
Duuh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna siku nilikua natoka dar kwenda bara. Nikapita mbezi kulikua na watu wengi saaana na gari ndogo nyingi Mida ya saa Saba mchanna.
Nika park wakanikimbilai vijana wanasema wana abiria wa Moro nikawambia nahitaji wa moja Kwa moja mpaka dom waksema hakuna hapo hao abiria wote ni wa Moro wanangoja abood zitoke Moro zije ziwabebe.
Wakati natafakari akatokea mbaba mmoja kavaa nguo za kimasai akaniuliza naenda wapi nikamjibu Dom, akauliza nauli ya Dom ngapi nikamtaji. Akasema yeye analipa nauli ya Dom lakini atashuka Moro na yupo na mwanae. Nikasema hamna shida.
Tuka Anza safari Yule Mzee WA kimasai alikaa seat ya mbele na mwanae nyuma. Nilianza kuona kero baada ya Mzee kuingiza mkono wake kwenye shuka lake na kukuna P***bu Kama vile yupo peke Ake chooni hivi ili bidi nizime AC tule upepo maana Hali ilibadilika. Mpaka tuna fika Moro Ile pesa yake ikabidi ninunue manukato.
Kwamba gari ipo tangu 2005 ILA imeanza kujaa bongo 2016. Sababu ile ile huwezi kuigusa hio kama ina miaka 1-5. Mob psychology Sawa lakini nayo iko limited na budget. Huwezi kuifuata mkumbo kununua usichokimudu.Sawa sawa. Lakini kile nilichotaka nikiweke hapa bado sijaeleweka. Nazungumzia hizo hizo za miaka hio ya nyuma. Nitafafanua vizuri subiri
Ulipita nikiwa nimekaa Msolwahukukutana na msafara wa makamu wa Rais? Au umekuta msafara ushapita?
Unaipendea nini mkuu [emoji1][emoji1]Siku uki-resume ile avatar yako ya awali nitakutonya jambo.
Wish you an enjoyable weekend madam.
-Kaveli-