Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Angesema tangu mwanzo,,siyo anabadilisha kiasi wakati mtu alishaondoka na anabadilisha kwa kumung'unya mdomo badala ya kusema tu kwa nguvu kwamba nataka ya elfu 5.
Sasa mimi huwa mnanikera, nakupa 20,000 halafu unaniuliza yote? Like seriously V6 unaniuliza 20k kwamba nitaweka 12,000 au?
 
Alijieleza kuwa aliskia 50 sema ana mawazo sijui blaah blaah alikuwa na kipengele. Ilibidi nichukue namba yake ili nikiwa fresh nimcheki
Tano na tatu inachanganya
Mimi huwa nawasisitiza wamuulize mteja mara mbili kwa mkono kama ni tano au tatu ili baadaye tusilaumiane.

Hapo hakuna namna ni aidha umhurumie uilipe hiyo 20,ama alipe yeye au wese lililozidi lichujwe.
 
Sasa yule mteja alitoa elfu 10 ,kumbe ametamka awekewe ya elfu 5 wakati pump attendant ashaondoka kwenda kufungua gari....si akawekewa yote ya elfu 10!Alooo hapakutosha pale sheli😂😂😂😂😂😂😂.,akaanza kudai elfu 5 yake huku akitoa matusi yote.
Wanaume tafuteni hela jamani.
Hio 5,000 iliobaki ndio ilikuwa ya kutafutia hela ya kurudi aweke full tank.
 
Fashion ya magari iko under controling ya nini? Ni Bei, Madalali au mob psychology ?

Mfano Hizi Crown zipo muda mrefu tu japan since 2005 lakini zimetamba sana kuanzia miaka ya 2016(nadhani) na sasa kama vile zinaishia ishia. So kwanini zisitambe before 2016 au early 2023.

Sijui nitaeleweka kweli 😅
 
Alijieleza kuwa aliskia 50 sema ana mawazo sijui blaah blaah alikuwa na kipengele. Ilibidi nichukue namba yake ili nikiwa fresh nimcheki
Ila wengine wanakuwa waaminifu wanaleta hiyo hela taratibu.
Mtu anataka ya elfu 10,pump attendant anaandika laki moja ,,,kuja kushtuka pump imekimbia ipo elfu 50🤦‍♀️..na mtu hana hela kwa wakati huo.
 
Fashion ya magari iko under controling ya nini? Ni Bei, Madalali au mob psychology ?

Mfano Hizi Crown zipo muda mrefu tu japan since 2005 lakini zimetamba sana kuanzia miaka ya 2016(nadhani) na sasa kama vile zinaishia ishia. So kwanini zisitambe before 2016 au early 2023.

Sijui nitaeleweka kweli 😅
Kipato cha Wabongo wengi kinaishia humo. Gari za kuanzia 2016 ziko juu ya bajeti ya Watanzania wengi.
 
Kipato cha Wabongo wengi kinaishia humo. Gari za kuanzia 2016 ziko juu ya bajeti ya Watanzania wengi.
Wengi wetu wa vipato vya kati huwa hatu afford gari za above 35M kwa wastani! Gari nyingi ziko chini ya humo Vanguard, Harrier, Crown,Grand Vitara,Outlander, vile vibenz c200, audi a4, bmw 1,3 series n.k nyingi unakuta za 10yrs or above.

Wanaonunua gari za within 5 years toka D.O.M ni wachache sana na ndio unakuta ni zile gari zinazochezea 80M mpaka 160M! Ndio wale wafanyabiashara wakubwa ambao hela zimeshakubali vizuri yani tayari kajiwekeza sana. Au hawa Wakurugenzi kwenye Taasisi za serikali.
 
Kuna siku nilikua natoka dar kwenda bara. Nikapita mbezi kulikua na watu wengi saaana na gari ndogo nyingi Mida ya saa Saba mchanna.

Nika park wakanikimbilai vijana wanasema wana abiria wa Moro nikawambia nahitaji wa moja Kwa moja mpaka dom waksema hakuna hapo hao abiria wote ni wa Moro wanangoja abood zitoke Moro zije ziwabebe.

Wakati natafakari akatokea mbaba mmoja kavaa nguo za kimasai akaniuliza naenda wapi nikamjibu Dom, akauliza nauli ya Dom ngapi nikamtaji. Akasema yeye analipa nauli ya Dom lakini atashuka Moro na yupo na mwanae. Nikasema hamna shida.

Tuka Anza safari Yule Mzee WA kimasai alikaa seat ya mbele na mwanae nyuma. Nilianza kuona kero baada ya Mzee kuingiza mkono wake kwenye shuka lake na kukuna P***bu Kama vile yupo peke Ake chooni hivi ili bidi nizime AC tule upepo maana Hali ilibadilika. Mpaka tuna fika Moro Ile pesa yake ikabidi ninunue manukato.
Duuh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sawa sawa. Lakini kile nilichotaka nikiweke hapa bado sijaeleweka. Nazungumzia hizo hizo za miaka hio ya nyuma. Nitafafanua vizuri subiri
Kwamba gari ipo tangu 2005 ILA imeanza kujaa bongo 2016. Sababu ile ile huwezi kuigusa hio kama ina miaka 1-5. Mob psychology Sawa lakini nayo iko limited na budget. Huwezi kuifuata mkumbo kununua usichokimudu.
 
Nachofanyaga nikiona kibao cha 50 napunguza then hapo kati namwaga moto nikiona kibao tena cha over 50 napunguza speed nikikipita namwaga moto mazima, camera zinakwepo mwanzo wa kibao na mwisho kati ni mara chache labda kuwe na zebra kwenye shule ama reli inakatiza[emoji848]
 
Back
Top Bottom