Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Njoo uniungishe sasa RRONDO.Wanapunguza faida Yao kutoka 100/- mpaka 50/60/- kwa Lita. Wanapata faida kubwa kwenye volume. Wanauza sana kuliko wale wanaobaki na bei elekezi.
NB: Unaweza kuuza chini ya bei elekezi ila sio juu ya bei elekezi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ili ukamsaidie kupunguza mawazo au sio! Wanaume tuna huruma Sana, tuzidi kubarikiwa.
Midas hii natoka kuvuka hapa Busisi na VANGUARD hapa usiku huwa zinavuka private car nyingi sana (kulikuwa n'a foleni), sasa gari zimetoka zinafukuzana afu kwenye wheel yupo wife nilichoka hivyo nikaomba amalizie safari .
Ebwanaeeeh, hawa viumbe tuishi nao kwa akili, aiseeh gari unapigwa fimbo kwenye hizi mbio kiasi ambacho hâta mimi sijawahi kwenda, overtaking za kibabe balaa, kuna muda nilianza kupatwa na wasiwasi.
Nataka tukifika room nimuulize huu ubandidu kajifunzia wapi, atakuja kufa siku moja huyu.
Watu wa Dar hamna upendo kabisa[emoji19]
.....
Huko kigamboni nitsenda kwa kupita darajani..
Ila kwenye maji siji kuthubutu mimi.
Namzingua huyo😂,ananijua.Kwa nini sasa?
Namzingua huyo[emoji23],ananijua.
Nimeshangaa sana aiseeh, afu namwambia punguza speed....anacheka akajibu kwa utani " si tulisena tutakufa wote au"😂Kuna mwenzio anamuendeshaga mputa mputaa....joking
Ile speed aliyokuwa anatembelea sio ya kawaida mkuu, maspeed ya sisi wanaume kabisa yale 😅.Hivi kwa nini huwa mnaona wanawake tunakimbiza gari?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo Arusha
Huu mwaka naona nimeanza na Trips za kutosha,
Mpaka Leo tarehe tisa nshapiga Zanzibar,Tanga na Leo Arusha…
Kanuni za biashara wachache sana huelewaFaida ni kidogo lakini mauzo yanakuwa makubwa sana na stock turnover many times maana mafuta yanaingia na kutoka haraka,,bei nzuri inavuta wateja wengi.
Ni heri kupata normal profit ila biashara inaenda kwa kukimbia kuliko kusubiri supernormal profit huku biashara mafuta yanatoka kwa spidi ya taratibu.
Kuuza chini ya bei pungufu si dhambi ,
Cha muhimu bei isije zidi au isiwe sawa na gharama mlizonunua mafuta na bei ya kuuza ikidhi gharama za uendeshaji wa kituo.
Unaweza ng'ang'ana na 2500tzs per 1lt lakini rate of stock turn over ni 1times kwa mwezi..na depo unaenda mara 1 kupakia.Kanuni za biashara wachache sana huelewa
Hahahahahahah tutafungua sheli yetu mrembo endelea kuokota ujuzi hapo GBPUnaweza ng'ang'ana na 2500tzs per 1lt lakini rate of stock turn over ni 1times kwa mwezi..na depo unaenda mara 1 kupakia.
Ila ukikubali kushusha shilingi 5 tu au kumi,ukauza 2490 rsto inakuwa 10 times kwa mwezi...wewe unashinda depo kupakia mafuta kila wiki.
🤣🤣🤣 jenga basi uniajiri niwe nakubetia mambo😂😂.Hahahahahahah tutafungua sheli yetu mrembo endelea kuokota ujuzi hapo GBP
Shukurani mkuu kwa kuona hilo kwangu japo nakuwaga mchokozi sometimes. Mungu akubariki na wewe. [emoji120][emoji120] [emoji846][emoji846]Ila Karma you seem to be so wise aisee.
Nakufatiliaga humu ndani naona unavo-respond na replies, ni dhahiri navutiwa sana. Mungu akubariki!
Bora useme na wewe mkuu. Tatizo watu si wanaona Dar ndogo ndiyo maana hawaamini kama inawezekana mtu kuwa unaishi Dar na kuna sehemu unawezaa kaa muda mrefu hujapita.Kumbe mjini hapa? Itaje jina kabisa, wateja humu wapo wa kutosha.
Japo hiyo njia sipitagi sana ila ntakatisha siku 1 kukuunga tank full.
Shukrani sana boss i'm humbled [emoji120][emoji120]Yupo vizuri sana.
Mimi na uhangaikaji wote sehemu kama Goba,Kinyerezi,Gombs,Kimara,Mbezi Makabe na maeneo hayo naweza maliza hata miaka mitatu sijafika.Bora useme na wewe mkuu. Tatizo watu si wanaona Dar ndogo ndiyo maana hawaamini kama inawezekana mtu kuwa unaishi Dar na kuna sehemu unawezaa kaa muda mrefu hujapita.
Ha ha ha hatuwaamini! Ikitokea hatari unaweza kuachia usukani ukaficha USO!Hivi kwa nini huwa mnaona wanawake tunakimbiza gari?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo Arusha
Huu mwaka naona nimeanza na Trips za kutosha,
Mpaka Leo tarehe tisa nshapiga Zanzibar,Tanga na Leo Arusha…