Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Midas hii natoka kuvuka hapa Busisi na VANGUARD hapa usiku huwa zinavuka private car nyingi sana (kulikuwa n'a foleni), sasa gari zimetoka zinafukuzana afu kwenye wheel yupo wife nilichoka hivyo nikaomba amalizie safari .

Ebwanaeeeh, hawa viumbe tuishi nao kwa akili, aiseeh gari unapigwa fimbo kwenye hizi mbio kiasi ambacho hâta mimi sijawahi kwenda, overtaking za kibabe balaa, kuna muda nilianza kupatwa na wasiwasi.

Nataka tukifika room nimuulize huu ubandidu kajifunzia wapi, atakuja kufa siku moja huyu.

Hivi kwa nini huwa mnaona wanawake tunakimbiza gari?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Leo Arusha
Huu mwaka naona nimeanza na Trips za kutosha,

Mpaka Leo tarehe tisa nshapiga Zanzibar,Tanga na Leo Arusha…
 
Ile speed aliyokuwa anatembelea sio ya kawaida mkuu, maspeed ya sisi wanaume kabisa yale 😅.

Daaaah kuna raha sana kuendesha gari highway haswa zile sehemu ambazo gari ni za kuhesabu.
 
Faida ni kidogo lakini mauzo yanakuwa makubwa sana na stock turnover many times maana mafuta yanaingia na kutoka haraka,,bei nzuri inavuta wateja wengi.

Ni heri kupata normal profit ila biashara inaenda kwa kukimbia kuliko kusubiri supernormal profit huku biashara mafuta yanatoka kwa spidi ya taratibu.
Kuuza chini ya bei pungufu si dhambi ,
Cha muhimu bei isije zidi au isiwe sawa na gharama mlizonunua mafuta na bei ya kuuza ikidhi gharama za uendeshaji wa kituo.
Kanuni za biashara wachache sana huelewa
 
Kanuni za biashara wachache sana huelewa
Unaweza ng'ang'ana na 2500tzs per 1lt lakini rate of stock turn over ni 1times kwa mwezi..na depo unaenda mara 1 kupakia.
Ila ukikubali kushusha shilingi 5 tu au kumi,ukauza 2490 rsto inakuwa 10 times kwa mwezi...wewe unashinda depo kupakia mafuta kila wiki.
 
Hahahahahahah tutafungua sheli yetu mrembo endelea kuokota ujuzi hapo GBP
 
Hahahahahahah tutafungua sheli yetu mrembo endelea kuokota ujuzi hapo GBP
🤣🤣🤣 jenga basi uniajiri niwe nakubetia mambo😂😂.
Ajira ngumu hizi,,tunajikuta tunaanza kusoma mafuta mtaani..
Si mama alishasema anawashangaa wasio na ajira na pia kuna hatari ya majobless kukusanywa na kupigwa mnada kama mbolea nchi za nje😂

Naiba wapi hela za kujenga kituo jamani😂.
Ila on serious note biashara hiyo ina faida aisee,yaani ndani ya miezi michache mtu anarudisha mtaji wake.
 
Kumbe mjini hapa? Itaje jina kabisa, wateja humu wapo wa kutosha.

Japo hiyo njia sipitagi sana ila ntakatisha siku 1 kukuunga tank full.
Bora useme na wewe mkuu. Tatizo watu si wanaona Dar ndogo ndiyo maana hawaamini kama inawezekana mtu kuwa unaishi Dar na kuna sehemu unawezaa kaa muda mrefu hujapita.
 
Bora useme na wewe mkuu. Tatizo watu si wanaona Dar ndogo ndiyo maana hawaamini kama inawezekana mtu kuwa unaishi Dar na kuna sehemu unawezaa kaa muda mrefu hujapita.
Mimi na uhangaikaji wote sehemu kama Goba,Kinyerezi,Gombs,Kimara,Mbezi Makabe na maeneo hayo naweza maliza hata miaka mitatu sijafika.
 
Back
Top Bottom