Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

Hahahahah Passo Racy ya uongo sana yani๐Ÿ˜… kigari kibayaaaa
 
Passo sette katamu sana kamekaa kama Ractis new Model!
 
Mimi kwenye kuchambua magari na speed ni mweupe sana.


Tukienda kwenye point
Mtu amegonga twiga 35m
Sasa bora aiache passo au alipe hiyo hela?
 

Ninalala nikiwa na amani sana leo [emoji16][emoji16]
 
Ukipata gari toka Germany andaa fungu la fine la kutosha. Na uandike wosia kabisa.
Hapo nakuwa sijavunja sheria yoyote wala kuhatarisha maisha ya watumiaji wengine wa barabara. Askari hawahangaikagi na mimi nikifanya hizo mambo. Nachaguaga wapi pa kufanya hayo, sio kila pahala. Plus sikimbii mwanzo mwisho, nasprint tu mita mia kadhaa mbele then natembea mwendo wa kawaida. Kukimbia town hatari sana

Safety first
 
Mtakatifu Anne nimepita hapo alfajiri sn nikakosa kukusabai nadhan cku nyingine[emoji12][emoji23][emoji23]View attachment 2077671
Ohhh๐Ÿ˜๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐโคโค
Mungu wa Mbinguni akubariki sana ๐Ÿ™
Asante sana jamani...uje tena na tena..
Upako wa Mungu kupitia mafuta ya akina Anne ukaende na wewe๐Ÿ˜‚.

Nakuwepo mara moja moja sana.
 
Wewe ni Team Japan au Team German.. tuanzia hapa kwanza ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ