Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

😂😂😂 Passo umetokea kupishana nayo sana.

Ngoja Extrovert akupe shule ya gari za Toyopet,Aichi. Kuna Passo Sette hii Ina nafasi Kama uwanja wa Taifa mnapanda familia nzima na majirani.

Kuna Passo Racy hii sawa na Vits RS inakimbia ukitia full tank hata Crown hakukamati 😂😂😂
Hahahahah Passo Racy ya uongo sana yani😅 kigari kibayaaaa
 
😂😂😂 Passo umetokea kupishana nayo sana.

Ngoja Extrovert akupe shule ya gari za Toyopet,Aichi. Kuna Passo Sette hii Ina nafasi Kama uwanja wa Taifa mnapanda familia nzima na majirani.

Kuna Passo Racy hii sawa na Vits RS inakimbia ukitia full tank hata Crown hakukamati 😂😂😂
Passo sette katamu sana kamekaa kama Ractis new Model!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Passo umetokea kupishana nayo sana.

Ngoja Extrovert akupe shule ya gari za Toyopet,Aichi. Kuna Passo Sette hii Ina nafasi Kama uwanja wa Taifa mnapanda familia nzima na majirani.

Kuna Passo Racy hii sawa na Vits RS inakimbia ukitia full tank hata Crown hakukamati [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kwenye kuchambua magari na speed ni mweupe sana.

Tukienda kwenye point
Mtu amegonga twiga 35m
Sasa bora aiache passo au alipe hiyo hela?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Passo umetokea kupishana nayo sana.

Ngoja Extrovert akupe shule ya gari za Toyopet,Aichi. Kuna Passo Sette hii Ina nafasi Kama uwanja wa Taifa mnapanda familia nzima na majirani.

Kuna Passo Racy hii sawa na Vits RS inakimbia ukitia full tank hata Crown hakukamati [emoji23][emoji23][emoji23]

Ninalala nikiwa na amani sana leo [emoji16][emoji16]
 
Ukipata gari toka Germany andaa fungu la fine la kutosha. Na uandike wosia kabisa.
Hapo nakuwa sijavunja sheria yoyote wala kuhatarisha maisha ya watumiaji wengine wa barabara. Askari hawahangaikagi na mimi nikifanya hizo mambo. Nachaguaga wapi pa kufanya hayo, sio kila pahala. Plus sikimbii mwanzo mwisho, nasprint tu mita mia kadhaa mbele then natembea mwendo wa kawaida. Kukimbia town hatari sana

Safety first
 
Unadhani hata huwa nazunguka basi.
Mwendokasi zimeniharibu.
Mtakatifu Anne nimepita hapo alfajiri sn nikakosa kukusabai nadhan cku nyingine[emoji12][emoji23][emoji23]
IMG_20220112_065556.jpg
 
Mtakatifu Anne nimepita hapo alfajiri sn nikakosa kukusabai nadhan cku nyingine[emoji12][emoji23][emoji23]View attachment 2077671
Ohhh😍🥰🥰❤❤
Mungu wa Mbinguni akubariki sana 🙏
Asante sana jamani...uje tena na tena..
Upako wa Mungu kupitia mafuta ya akina Anne ukaende na wewe😂.

Nakuwepo mara moja moja sana.
 
Wakuu namimi nimenunua gari, sasa namimi nitaanza road trip kwanza za ofisini, kanisani na nyumbani. Nipo nanyi humu toka day 1, comment kwa comment, ndio uzi ninaoufuatilia muda mrefu kuliko uzi wowote JF, nimejifunza mengi sana yahusuyo barabarani, kaka RRONDO barikiwa sana na wengine wote, asanteni sana
Wewe ni Team Japan au Team German.. tuanzia hapa kwanza 😊😊
 
Back
Top Bottom