Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahah Passo Racy ya uongo sana yani😅 kigari kibayaaaa😂😂😂 Passo umetokea kupishana nayo sana.
Ngoja Extrovert akupe shule ya gari za Toyopet,Aichi. Kuna Passo Sette hii Ina nafasi Kama uwanja wa Taifa mnapanda familia nzima na majirani.
Kuna Passo Racy hii sawa na Vits RS inakimbia ukitia full tank hata Crown hakukamati 😂😂😂