Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nakazana sana kusaka pesa asee.. humu mjini kuna watu hadi wana G-Wagon latest kabisaa.. naona kama nafanya utani.. uhalisia kama unataka chuma.. mezani tenga kuanzia 150+million kidogo unaweza paka gari mahala umevimba kichwa
Hahahahahahahhaha G wagon itakuumiza kichwa we kamata kidude chako cha 80M tu kinatosha kuwanyoosha wanyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…