Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahahhaha G wagon itakuumiza kichwa we kamata kidude chako cha 80M tu kinatosha kuwanyoosha wanyongeNakazana sana kusaka pesa asee.. humu mjini kuna watu hadi wana G-Wagon latest kabisaa.. naona kama nafanya utani.. uhalisia kama unataka chuma.. mezani tenga kuanzia 150+million kidogo unaweza paka gari mahala umevimba kichwa
Itakuwa tank ilitapika kabisa wakaichekecha ili ijae vizuri!Tena mswaki wa jamaa ni ule hadi pump inakata!
Nimeziona za 2021 kabisaNakazana sana kusaka pesa asee.. humu mjini kuna watu hadi wana G-Wagon latest kabisaa.. naona kama nafanya utani.. uhalisia kama unataka chuma.. mezani tenga kuanzia 150+million kidogo unaweza paka gari mahala umevimba kichwa
Aseee $ 100,000 gari gani itanifaaa.. achana na 80M.. hela ya kumuhonga Kajala hiyo 😁😁Hahahahahahahhaha G wagon itakuumiza kichwa we kamata kidude chako cha 80M tu kinatosha kuwanyoosha wanyonge
Nilijaza Arusha Lake oil moja pump haina ile sensor ya kukata mpaka mzigo ukamwagika! Niliwambia chalii aoshe tairi yote! Maanake chuma ikipata moto na kuna unyevu wa petrol si balaa!Itakuwa tank ilitapika kabisa wakaichekecha ili ijae vizuri!
Hahahhahahahah Lake Oil wese lake huwa linakaa najua hio ulifika mjini na reserve ya miseleNilijaza Arusha Lake oil moja pump haina ile sensor ya kukata mpaka mzigo ukamwagika! Niliwambia chalii aoshe tairi yote! Maanake chuma ikipata moto na kuna unyevu wa petrol si balaa!
Full ilifika mjini. Ilibaki wese la kutembea 7km tu
Hahahahaha hio nunua Tesla tu hamna namna ingine! Nikuwanyoosha raia wote hamna anaesumbua!Aseee $ 100,000 gari gani itanifaaa.. achana na 80M.. hela ya kumuhonga Kajala hiyo 😁😁
Ahaa ina maana kumbe bei ni tofautiKuna tofauti ya bei, kwahio utapata few extra litres from Lake compared to Total.
Pitia mle utazikuta zipo! Af sio bei kivile kuliko kununua prado la 2020 bora uagize Tesla yako tu safiTesla zinapatikana BF kumbe!
Mfumo wake wa charge kwa sie tusio jua kuishi mahala pamoja ni issue, bado sie mwarabu ataendela kuwa jamaa yetu kwa mda mrefu sanaa 😀😀😀😀Hahahahaha hio nunua Tesla tu hamna namna ingine! Nikuwanyoosha raia wote hamna anaesumbua!
Model S Plaid unapata hapo Beforward!
Si unauziwa na power plant lake lile charger unanunua na fast charger tu!Utachajia wapi? Tanesco Kinyerezi?