Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hahaa umenikumbusha yule traffic anayetabasamu [emoji3][emoji3]
 
Nakazana sana kusaka pesa asee.. humu mjini kuna watu hadi wana G-Wagon latest kabisaa.. naona kama nafanya utani.. uhalisia kama unataka chuma.. mezani tenga kuanzia 150+million kidogo unaweza paka gari mahala umevimba kichwa
Sie wengine hapa kununua gari za 200M kuendelea labda ziwe made of vibranium [emoji1787][emoji1787]
 
Nimeaanza kuzielewa sana Porche hasa panamera.. ila sijaona hata moja yenye bei ya kinyonge nilienda mahala nikaiona nikasema eeh hizi ndio gari sasa
Kuna jamaa Kenya anauza magari.

Kaagiza Panamera kakosa mteja, amishia kuitumia mwenyewe.

Page yake intsagram inaitwa Imports by Kairo. Ila mostly anaagiza magari ya Singapore.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…