Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji16][emoji16]
JamiiForums832568832.jpg
 
Umemkuta kipini?
Hahah! Yule dogo huwa ananikosha anavyoita gari..yaani full tabasamu.

Ukimkuta sasa anavyokokota bajaj na pikipiki[emoji1787]..bajaj ikizimia pale kabla haijaingia kwenye pump anakimbia mbio kwenda kusukuma[emoji1787][emoji1787]
Sema amezidisha uchangamfu hadi mara nyingine huwa anasahau kuchukua hela ..kule ndani anajila [emoji16]
Hahaa umenikumbusha yule traffic anayetabasamu [emoji3][emoji3]
 
Nakazana sana kusaka pesa asee.. humu mjini kuna watu hadi wana G-Wagon latest kabisaa.. naona kama nafanya utani.. uhalisia kama unataka chuma.. mezani tenga kuanzia 150+million kidogo unaweza paka gari mahala umevimba kichwa
Sie wengine hapa kununua gari za 200M kuendelea labda ziwe made of vibranium [emoji1787][emoji1787]
 
Nimeaanza kuzielewa sana Porche hasa panamera.. ila sijaona hata moja yenye bei ya kinyonge nilienda mahala nikaiona nikasema eeh hizi ndio gari sasa
Kuna jamaa Kenya anauza magari.

Kaagiza Panamera kakosa mteja, amishia kuitumia mwenyewe.

Page yake intsagram inaitwa Imports by Kairo. Ila mostly anaagiza magari ya Singapore.
 
Back
Top Bottom