😃😃😃😃 Hiyo RR ( Rolls Royce ).. Binafsi hao nitakula nao sahani moja mwaka huu.. mwishoni kuanzia mwezi wa tisaa hivi aaah! lazima nilale nao mbele, acha niteseke msituni kama mkimbizi kuna mwamba wangu mmoja hii wiki kashusha RR SVR mupyaaaaWakuu tupambane sana. Jioni at least mara tatu kwa wiki huwa nafanya jogging along Toure drive. Huku barabarani kuna watoto wa kihindi wanatoa carbon gari zao ni balaa. Kuna G55 mbili za 2021, cayenne GT, Infinity lile kama Y62 BMW M5 na RR ya 2019 hivi. Wanakimbizana hawa jamaa naishia kuvuta harufu ya coil tu
Gari za hivi hazijawahi nivutia kabisa hata ziwe na specs za kutisha kiasi gani! Kwa Ferrari labda tuisubiri hiyo Purosangue!au haka Ferrari 812 Superfast [emoji2][emoji2][emoji2]
Engine Displacement (cc) : 6496
No. of cylinder : 12
Max Power: 788.52bhp@8500rpm
Max Torque: 718 Nm@7000 rpm
Nakupa vyuuuu kama upepooo.... [emoji41][emoji41][emoji41]
View attachment 2124122
Aaah! Ferrari nazipendaga sana.. uninunulie basi siku yangu ya kuzaliwaGari za hivi hazijawahi nivutia kabisa hata ziwe na specs za kutisha kiasi gani! Kwa Ferrari labda tuisubiri hiyo Purosangue!
Range rover😃😃😃😃 Hiyo RR ( Rolls Royce ).. Binafsi hao nitakula nao sahani moja mwaka huu.. mwishoni kuanzia mwezi wa tisaa hivi aaah! lazima nilale nao mbele, acha niteseke msituni kama mkimbizi kuna mwamba wangu mmoja hii wiki kashusha RR SVR mupyaaaa
Haha mdogo wangu naona umeamua kunitukana! Hizo mimi mwenyewe tu kujinunulia siwezi achilia mbali kumnunulia mtu!Aaah! Ferrari nazipendaga sana.. uninunulie basi siku yangu ya kuzaliwa
Hizi ndio Gari sasa
Ndoto kubwa kazi kubwa.. mtoto wa tandale alianza kuiota Rolls Royce zaidi ya miaka 7.. inawezekana kama unazipenda.. kuipata 😃😃😃😃Mkuu hebu niache kwanza
😌😌😌😌 dada ndoto hutimia kama unaifanyia kazi.. usiweke mpaka kwenye maisha yako, anything can happen.. mama samia kilichomkuta 😂😂Haha mdogo wangu naona umeamua kunitukana! Hizo mimi mwenyewe tu kujinunulia siwezi achilia mbali kumnunulia mtu!
😃😃😃😃 wait nitakuwa nakupeleka nalo kazini mala moja moja dada yangu..Hizi ndio Gari sasa
😃😃😃😃 Gari kali nyingi sana pesa tuHii hata nikipata hio hela sio chaguo langu.
😎😎 G wagon imeka kibabe sanaGari za kawaida tu kama brand new RR G wagon zinatosha.
Haha itakuwa ni jambo jema [emoji4][emoji4][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] wait nitakuwa nakupeleka nalo kazini mala moja moja dada yangu..
dah! shida yote ya nini
Anaingizia jamuhuri mapato