Yeah they are doing this deliberately! Sababu wanawanyima vijana ajira vijana wakilalamika wanaambiwa wajiajiri, basi sawa vijana wameona siyo kesi acha wajiajiri, bado tena wanabambikiwa kodi na tozo za kukomoa kazi kweli kweli!Umeongea kitu sensible sana.
Vijana mkiwa na hela na elimu nzuri ni ngumu kutawalika.
Ndo maana mnawekewa vikwazo kutoboa.
Mtaishia kuwa bodabodaz tu.
Nimeingia Jtatu asubuhi nimesepa Jnne jioni meku.Umekuja Arusha, hunitafuti arifu...nikupeleke viwanja vyenye loshoro tamu mkuu..[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kuna wakati nilitumia kama 2/3 ya Tank.Naushuhudia msemo wako kuwa consumption ina vary with change in altitude.
Nashuka Arusha kuitafuta Dar naona gari inanipa 15kmpl.
Wakati napanda Jumapili ilimax at 12
Uzuri uwezo wa kuzileta na kuzificha tunao, hamna shida.Haya mambo ya financial markets ni allien subject kwa wengi sana kuanzia viongozi mpaka wananchi wa kawaida.
Wahindi na foreigners wengi wamekuwa wanafanya tangu kabla kina jeff hawajaanza.
Ila system imeshakuwa seggregatory to the extent ukianza kuleta mahela yako lazima upate kashkash nyingi sana.
System ishawekwa mweusi hutakiwi kuwa mali za kutisha kuliko muhindi.
Karibu sana..[emoji119][emoji119][emoji120]Nimeingia Jtatu asubuhi nimesepa Jnne jioni meku.
Muda ni issue, next time uhakika
Ulaya Kuna kampuni za Ship Salvage watasogea na Tug Boat za kisasa watasaidia kwenye uokozi....wanasema ni zile betri ndiyo zimesababisha moto..View attachment 2124938
Wamiliki wa meli waliplan ivutwe na tug boat kwenye update za mitandaoni....wanasema ni zile betri ndiyo zimesababisha moto..View attachment 2124938
😃😃😃 unahisi kwanini wamekuwa wagumu kutimbaWamiliki wa meli waliplan ivutwe na tug boat kwenye update za mitandaoni.
Kwenye Ship salvage Kuna makubalia ya kuingia mkataba ndio ufanye uokozi au kuokoa Kisha utalipwa kadri ya Mali ulizookoa. Hapo wazungu wenye kampuni za Salvage wamekuwa wagumu kutia miguu ingawa mali ni za thamani Kubwa.
Inabidi uende na 9.8ms squared kule atafanya uvuvi wa Samaki wakubwa, Maji ya UfukweniKili marathon...anyone?
😃😃😃😃.. Kuna fish nivuta kwenye haya mambo yaoo.. kama iliwekeza pesa kwanguu... nilikoma ndani ya wiki samaki anakula uchumi hatariiiInabidi uende na 9.8ms squared kule atafanya uvuvi wa Samaki wakubwa, Maji ya Ufukweni
Samaki anakula chambo wa gharama 😂😂😂😃😃😃😃.. Kuna fish nivuta kwenye haya mambo yaoo.. kama iliwekeza pesa kwanguu... nilikoma ndani ya wiki samaki anakula uchumi hatariii
😃😃😃😃 ilikuwa fish ya bahari ya CRDB.. cheee nilisema sina shida na samaki hii ndani ya siku nne inakula chomba ya 2 million, nikaona hii imekubaliana na samaki wengine waje kufirisi mvuvi na mtaji wake.. nikalala mbele nikaacha ndoana na kambaSamaki anakula chambo wa gharama 😂😂😂
Kwenye Ship Salvage ambayo sio Contractual waokoaji wanaweza wakataka fidia kuanzia asilimia 10 mpaka 50 sawa na thamani ya Mzigo utakaopona. Wengi hutaka 50% kama alitumia vifaa vyake na watu Kisha akapata uharibifu wa Mali kama boti za uzimaji moto Ili Meli ifike salama bandari.😃😃😃 unahisi kwanini wamekuwa wagumu kutimba
😃😃😃😃😃 Asante sana kwa darasa.. hapo company za bima ndipo napo zinapataka utamu sasaKwenye Ship Salvage ambayo sio Contractual waokoaji wanaweza wakataka fidia kuanzia asilimia 10 mpaka 50 sawa na thamani ya Mzigo utakaopona. Wengi hutaka 50% kama alitumia vifaa vyake na watu Kisha akapata uharibifu wa Mali kama boti za uzimaji moto Ili Meli ifike salama bandari.
Hapo wameona Kwa thamani ya Mzigo au nature ya wamiliki wakija kuleta madai ya kupewa asilimia kuanzia 20 mpaka 50 itakuwa ngumu Bora wakae pembeni.
Pia wameona gari zote zilizokuwemo mule lazima msafirishaji alikatia bima(Freight Insurance) hivyo wenye Magari kampuni za bima watahusika kulipa gari zilizoharibika Kwa kipengele Cha Marine Average Law ambapo gari zilizofika salama waliowakatia bima watasaidiana kulipia hasara ya gari zilizoharibika sawa Sawa.
Na mwenye meli akaagiza kikombe Cha Cappuccino akiwa na uhakika meli yake ina ya Hull & Machinery ambapo hapo ana kila sababu ya kulipwa maana moto ni janga ambalo bima Ina cover ( Marine Perils).
Wazee wa ship Salvage kila wakipiga simu na kutuma email hazijibiwi kama Raisi wa Ukraine
Kama mvuvi kule utashindwa weweInabidi uende na 9.8ms squared kule atafanya uvuvi wa Samaki wakubwa, Maji ya Ufukweni
Tatizo mnaingia mmetanua mikono mabega juu 😂😂😂😃😃😃😃 ilikuwa fish ya bahari ya CRDB.. cheee nilisema sina shida na samaki hii ndani ya siku nne inakula chomba ya 2 million, nikaona hii imekubaliana na samaki wengine waje kufirisi mvuvi na mtaji wake.. nikalala mbele nikaacha ndoana na kamba
😃😃😃 samaki kanona ila mmh.. competition ni kali sanaTatizo mnaingia mmetanua mikono mabega juu 😂😂😂
Hasa paleInabidi uende na 9.8ms squared kule atafanya uvuvi wa Samaki wakubwa, Maji ya Ufukweni