Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Eh ukute kitu kina uchogo wa maana kama Range Rover ikibana brake kwa mbali mara imechomokea kulia inaunga ileee 😅😅😅

Kwangu mie gari ni SUV forever...Gari za chini changamoto ni hela tu.
 
Hii fuel economy kwenye display ya gari ina maana inatafuta average kila mara? Gari ya 1997 cc na assume consumption ni kati ya 10-15....View attachment 2144181
Inaweza kukuonesha 'live' unayotembea na baadae ikakuonesha wastani wa matumizi yako kwa jumla. Ile 'live' huwa ina alternate kadiri unavyotumia kwenye trip yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…