Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

SUV ikiwa busy inakimbia huwa inavutia sana halafu ukute kwa pembeni au nyuma ina muonekano wa kibabe! Hizo sports cars and the likes wengine tunapenda tuishie kuziona kwenye racing na drifting games tu ila vikiwa kwenye public roads vinachekesha hasa bongo ukute kiko kwenye foleni pale mwenge yaani kinaonekana very odd labda kwa wenzetu huko ambako viko shazi kama mchele!
Eh ukute kitu kina uchogo wa maana kama Range Rover ikibana brake kwa mbali mara imechomokea kulia inaunga ileee 😅😅😅

Kwangu mie gari ni SUV forever...Gari za chini changamoto ni hela tu.
 
Hii fuel economy kwenye display ya gari ina maana inatafuta average kila mara? Gari ya 1997 cc na assume consumption ni kati ya 10-15....
20220303_151204.jpg
 
Hii fuel economy kwenye display ya gari ina maana inatafuta average kila mara? Gari ya 1997 cc na assume consumption ni kati ya 10-15....View attachment 2144181
Inaweza kukuonesha 'live' unayotembea na baadae ikakuonesha wastani wa matumizi yako kwa jumla. Ile 'live' huwa ina alternate kadiri unavyotumia kwenye trip yako.
 
Back
Top Bottom