Ku diversify risk beba abiria mmoja mmoja kila kituo ila so far hamna cases za aina hio kuwa mwenye gari katekwa.Tahadhari muhimu.
Tuchangie uchumi kidogo naona gauge inaeleka kwa E-liza 😂😂😂Popo la taifaView attachment 2303470
Niliitikisia full hapo NASSCO MANYONI mkuuTuchangie uchumi kidogo naona gauge inaeleka kwa E-liza [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nenda tuu mwenyewe mdogo mdogo, kwa usalama zaidiIjumaa jioni saa 11 naenda Dodoma peke yangu. Wapi naweza kupata vichwa vya kunipigisha Stori na kupunguza makali ya mafuta?!
Ni kweli mkuu maana tunaishi Tanzania iliyogeuka, ni ngumu mno kujua Nami ni abiria au bad person,may be ni kukusanya ID'S zao kwanza kabla hajaingia ndani ya gari, na kama utachukua abiria zaidi ya mmoja jitahidi uchanganye yaani ke&me
Pesa tamuDaah..[emoji91]View attachment 2304926
Hii ni hatari mzee 😂😂😂
Utaskia, "Toyota hana gari kama mjerumani" aliskika muendesha 3 series na VW golf mmoja.😂😂😂Pesa tamu
Ni kawaida kwa hio mitaa kupishana na 0.5Bills zinatembea 😂😂😂 tuombe uzimaDaah..[emoji91]View attachment 2304926
Mida yetu hiyo. Vichwa pakia Mbezi pale. Wale madalali watakupa 20 kwa kichwa. Wanapiga cha juu kikubwa, usikasirike.Ijumaa jioni saa 11 naenda Dodoma peke yangu. Wapi naweza kupata vichwa vya kunipigisha Stori na kupunguza makali ya mafuta?!
Safi sana, kuendesha Kwa akili ndio kilichobaki.Mida yetu hiyo. Vichwa pakia Mbezi pale. Wale madalali watakupa 20 kwa kichwa. Wanapiga cha juu kikubwa, usikasirike.
Mida hii nimetoka Dar nimeingia Arusha, From Saa 4 to saa 11. Nimepakia vichwa vitatu vya Moshi vimenipa lita 20 za mafuta. Nikatembea mdogo mdogo mwendo wa usiku, nimefika kwa avg ya 10kmpl na 84km/h
Maumivu ya kupanda kwa bei ya wese yamemezwa kwa mfumo huo.
Baadaye nageuza [emoji1787]
Ukitaka ujue Toyota Hana nguvu ni pale mtu anapolinganisha LX570 na cheap sedan za Kijerumani. Maanake ni kwamba ukienda pound for pound Toyota hatoboi.Utaskia, "Toyota hana gari kama mjerumani" aliskika muendesha 3 series na VW golf mmoja.😂😂😂
Hio lexus ina comfort na luxury features kuliko hata baadhi ya german makes.Ukitaka ujue Toyota Hana nguvu ni pale mtu anapolinganisha LX570 na cheap sedan za Kijerumani. Maanake ni kwamba ukienda pound for pound Toyota hatoboi.
Hii Supercharged piece of engineering kwenye hii 6.2L Engine ya GM ni balaa. Hellcat na Trackhawk wanazinyoosha gari nyingi tu kwenye race tracks yani ni back to back wins tu.Haijasaidia kitu!