Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Watanzania tunaogopana sana. Anyway huwa sipakii stranger kwenye gari yangu na sababu yangu kuu sio usalama ni UHURU tu ambao nitaupoteza nikiwa na abiria nisiowafahamu.
Anyway nitakuwa na shemeji yenu aka my navigator aka my motivator.
 
Daah..[emoji91]
Screenshot_20220726-202913_Gallery.jpg
 
Ijumaa jioni saa 11 naenda Dodoma peke yangu. Wapi naweza kupata vichwa vya kunipigisha Stori na kupunguza makali ya mafuta?!
Mida yetu hiyo. Vichwa pakia Mbezi pale. Wale madalali watakupa 20 kwa kichwa. Wanapiga cha juu kikubwa, usikasirike.

Mida hii nimetoka Dar nimeingia Arusha, From Saa 4 to saa 11. Nimepakia vichwa vitatu vya Moshi vimenipa lita 20 za mafuta. Nikatembea mdogo mdogo mwendo wa usiku, nimefika kwa avg ya 10kmpl na 84km/h

Maumivu ya kupanda kwa bei ya wese yamemezwa kwa mfumo huo.

Baadaye nageuza [emoji1787]
 
Safi sana, kuendesha Kwa akili ndio kilichobaki.
 
Back
Top Bottom