Hio 1M labda nifunge mziki full yani subs, amp, eq, na head unit ya ukweli.Nimeacha zamani kubadili redio ya gari, ya sasa hivi imeharibika nahitaji android ila 1m kwa redio sio kidogo. Ina maana unasafiri bila redio/music ?
Kuendesha mchana kipaji.Changia nchi yako
Kuna Mzee wangu, mnaweza mkashinda naye mchana mzima mpompo tu Ila saa mbili usiku ndo anasema anaanza safari ya km500+.Usiku stress sana, nahisi macho yangu yashapungua uwezo wa kuona usiku. On coming cars inakuwa ngumu kujua zipo umbali gani.
Pole sana tafuta special 👓 za kukusaidia kuona vema usiku, uendeshaji wa usiku ni salama zaidi,kwanza una concentrate mbele ambapo mwanga unapiga,distractions za kuangalia wanawali zinakua hakuna!,pia tyres ,cooling systems inakuwa safi, la muhimu uendeshaji wa usiku angalia weather, speed yako, good following distance, stray animals na kumbuka MM za JKT!Usiku stress sana, nahisi macho yangu yashapungua uwezo wa kuona usiku. On coming cars inakuwa ngumu kujua zipo umbali gani.
Wewe upo team moja na mimi, T1 unaanza saa 1400,taratibu hadi 1800 upo Moro, (hupati hata one speed fine),ikifika 1900 usiku ni kuunga IT convoy, jitahidi uwe kati kati yao na always look the leader, anapopitisha gari na wewe unalenga pale pale(leader always ni mzoefu wa njia na ni pathfinder),lazima Tunduma 0500 tayari mpo kwenye Ile petrol ⛽, round about karibu na main gate ya border!!Kuna Mzee wangu, mnaweza mkashinda naye mchana mzima mpompo tu Ila saa mbili usiku ndo anasema anaanza safari ya km500+.
Ameniambukiza na Mimi, napenda Sana safari ya usiku.
Acha nisafiri mchana tu, usiku unikute mwisho wa safari.Pole sana tafuta special 👓 za kukusaidia kuona vema usiku, uendeshaji wa usiku ni salama zaidi,kwanza una concentrate mbele ambapo mwanga unapiga,distractions za kuangalia wanawali zinakua hakuna!,pia tyres ,cooling systems inakuwa safi, la muhimu uendeshaji wa usiku angalia weather, speed yako, good following distance, stray animals na kumbuka MM za JKT!
Mimi mwenyewe usiku sipendelei kabisa.Acha nisafiri mchana tu, usiku unikute mwisho wa safari.
Mwendo gan huoLeo nimetoka dar saa sita nimekuja moro saa nane na nusu nipo moro napata msosi.
Nimetembea sanaa alafu ni primio FMwendo gan huo
Vaa ile night driving glass mzee baba😂Usiku stress sana, nahisi macho yangu yashapungua uwezo wa kuona usiku. On coming cars inakuwa ngumu kujua zipo umbali gani.
Mkuu wewe mwanachama mwenzangu wa nightPole sana tafuta special 👓 za kukusaidia kuona vema usiku, uendeshaji wa usiku ni salama zaidi,kwanza una concentrate mbele ambapo mwanga unapiga,distractions za kuangalia wanawali zinakua hakuna!,pia tyres ,cooling systems inakuwa safi, la muhimu uendeshaji wa usiku angalia weather, speed yako, good following distance, stray animals na kumbuka MM za JKT!
Mbwembwe zinakuwa hamna, aisee ile Morroco- Mwenge wahuni wanapasuka vibaya mno yani jana kuna mwamba ana Royal saloon mwendo aliokuwa anaenda nao nahisi alifika 16O ni shida.😂😂😂Nitatembea mchana, usiku ukinikuta road nakuwa mpole.