Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Imetokea ubungo apa hiyo semi ya rwanda ilipiga break za gafla ili kutoko igonga gari ndogo ilikuwa mbele apo sheet zimechomoka zote kuiponda kibin yote sema sijarekod vizuri wakuu.
Screenshot_20220805-220840_Gallery.jpg
 
Usiku stress sana, nahisi macho yangu yashapungua uwezo wa kuona usiku. On coming cars inakuwa ngumu kujua zipo umbali gani.
Pole sana tafuta special 👓 za kukusaidia kuona vema usiku, uendeshaji wa usiku ni salama zaidi,kwanza una concentrate mbele ambapo mwanga unapiga,distractions za kuangalia wanawali zinakua hakuna!,pia tyres ,cooling systems inakuwa safi, la muhimu uendeshaji wa usiku angalia weather, speed yako, good following distance, stray animals na kumbuka MM za JKT!
 
Kuna Mzee wangu, mnaweza mkashinda naye mchana mzima mpompo tu Ila saa mbili usiku ndo anasema anaanza safari ya km500+.
Ameniambukiza na Mimi, napenda Sana safari ya usiku.
Wewe upo team moja na mimi, T1 unaanza saa 1400,taratibu hadi 1800 upo Moro, (hupati hata one speed fine),ikifika 1900 usiku ni kuunga IT convoy, jitahidi uwe kati kati yao na always look the leader, anapopitisha gari na wewe unalenga pale pale(leader always ni mzoefu wa njia na ni pathfinder),lazima Tunduma 0500 tayari mpo kwenye Ile petrol ⛽, round about karibu na main gate ya border!!
 
Pole sana tafuta special 👓 za kukusaidia kuona vema usiku, uendeshaji wa usiku ni salama zaidi,kwanza una concentrate mbele ambapo mwanga unapiga,distractions za kuangalia wanawali zinakua hakuna!,pia tyres ,cooling systems inakuwa safi, la muhimu uendeshaji wa usiku angalia weather, speed yako, good following distance, stray animals na kumbuka MM za JKT!
Acha nisafiri mchana tu, usiku unikute mwisho wa safari.
 
Pole sana tafuta special 👓 za kukusaidia kuona vema usiku, uendeshaji wa usiku ni salama zaidi,kwanza una concentrate mbele ambapo mwanga unapiga,distractions za kuangalia wanawali zinakua hakuna!,pia tyres ,cooling systems inakuwa safi, la muhimu uendeshaji wa usiku angalia weather, speed yako, good following distance, stray animals na kumbuka MM za JKT!
Mkuu wewe mwanachama mwenzangu wa night
trips bonge moja la experience. Lami imepoa engine inatembea on optimum perfomance.
 
Back
Top Bottom