Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nyinyi ndio wale mwenzio akiovateki na wewe unafuata nyuma. Udereva mbaya sana. Unawezaje kuendesha kwa akili ya mtu mwingine usiemjua?
 
Raha sana usiku uwe na taa nzuri tu. Utafanikwa yani vizuri mno tu sasa ona umetembea 85 bila bugudha yani steady speed ya 1OOkph
 
Nyinyi ndio wale mwenzio akiovateki na wewe unafuata nyuma. Udereva mbaya sana. Unawezaje kuendesha kwa akili ya mtu mwingine usiemjua?
Nooo mkuu overtaking it's a ifferent game plan pale udereva bora wa kila driver unakua applied, ila kwenye straight line visibility 100m ahead ohoooo mkuu unaunga tu, kuwa pathfinder ni cheo kikubwa ndani ya convoy, anaposimama ili as spend a penny, wote tunasimama!
 
Hio gari niliiona Tabata sheli mchana wake, ile mashine ni VX-R lazma ingewakalisha tu. Moto wake sio wa kitoto. Ilikuwa imekaa mkao wa kwenda ikiwa na prado nyingine 2.
Zimefika mzee,za dosi mmoja wa Kitwe zile ,moja imetoka leo Jumanne chini ya usimamizi wake Ally White,saizi atakuwa anaitafuta Iringa huko.
 
Cheerleader anatakiwa anyooshe goti sema msiachane sana.
 
Huwa wanawapiga fine? Maeneo mengi naona barabara zimeyuyuka kwasababu ya magari yanayoungua.
Pigwa fine na taasisi unazo zijua, usiombe kuangukia mikononi mwa Tanroad, utalia au utaacha gari. Na fine zao ni kwa dollar tu, na fine kila siku unayochelewa kulipa hela. Uje ujaribu hata kumwaga oil na gari barabarani alafu wakuotee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…