Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hakikisha uko vizuri tu, usiwape pa kuanzia. Juzi walinisimamisha huku Kibada walikuwa kibao,kazunguka gari kaingiza namba kwenye mashine namuangalia tu mwisho kaishia kuomba card ya gari na leseni nikampa akaniruhusu niondoke.
Nipo vizuri.

Ila hawajanisimamisha so far.

Wanaangalia na gari. Kama imechoka kidogo wanaipiga mkono. Kama ya kibabe na mpyampya wanakukaushia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…