Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Napenda sana view ya Dodoma usiku ukiwa unaitazama kutokea Chimwaga au UDOM
Muonekano wake unavutia sana
20200901_235053.jpg
 
Hakikisha uko vizuri tu, usiwape pa kuanzia. Juzi walinisimamisha huku Kibada walikuwa kibao,kazunguka gari kaingiza namba kwenye mashine namuangalia tu mwisho kaishia kuomba card ya gari na leseni nikampa akaniruhusu niondoke.
Nipo vizuri.

Ila hawajanisimamisha so far.

Wanaangalia na gari. Kama imechoka kidogo wanaipiga mkono. Kama ya kibabe na mpyampya wanakukaushia.
 
Back
Top Bottom