Tafuta ya Nissan mkuu. After market Tesla style radio zipo za kila gari.. Na connector zinakua designed kwa gari husika.Yangu ilikuwa imezingua pia. Ila kuitoa kuweka android haiwezekani, it seems iko deeply integrated na functions nyingine za gari.
Imefunguliwa watu wakachokonoa ICs zile sahizi inapiga kazi freshi na ina mziki mtamu kuliko hizi za kufunga.
Toyota mnafunga Android radio straight tu zile pin zinaingia ila Nissan ni kimbembe, hazimatch
Kwamba hizo hazina dpf na egr? Hizi dpf na egr siyo ni requirements za kupunguZa emissions from diesel engines?Ni kweli kabisa.
Hiyo changamoto inaniwazisha sana.
Nilishauriwa nikichukua gari ya Diesel, nisichukue za Europe, nichukue za South Africa, Japan au USA.
Hazina complication sana kama za EU.
Na ZA dpf and egr deletes zinafanyika sanaZipo kadhaa za SA nilikutana nazo zilikumbwa na hili tatizo.
Ndiyo maana yanaitwa makubwa jinga!Duh kumbe Prado na cc2700 inatoa 163hp tu? Duh
DDS ni ya lini?Wakuu hii bei mbona chini sana.View attachment 2321737
Mda sanaDDS ni ya lini?
😀😀😀 Kawaida tu, huenda mwenye mali kaamua auze kwa bei hiyo. Ila sema tumeisha zoe kupigwa na vitu vizito hayaWakuu hii bei mbona chini sana.View attachment 2321737
Kuna C zinauzwa mkasi sana. Gari kununua ukiangalia hizi herufi unakosa, kuna C mtu alinunua mpyaa ya 2010 na kuna DZX ya mwaka 2004 mtu anaweza kimbilia DZXIna haki ya kuuzwa 5m
Kama unataka power and speed, gari za japan zitakuudhi.Duh kumbe Prado na cc2700 inatoa 163hp tu? Duh
DZX ya mwaka 2000 heheheeKuna C zinauzwa mkasi sana. Gari kununua ukiangalia hizi herufi unakosa, kuna C mtu alinunua mpyaa ya 2010 na kuna DZX ya mwaka 2004 mtu anaweza kimbilia DZX
😀😀😀😀 na hivi karibuni tutakuwa na EAA za 2000DZX ya mwaka 2000 hehehee
Hii Crown ni used car(2004) imeingia Tz as used. Only way ya kudetermine price ni kuangalia ina umri gani hapa Tz. Ni tofauti na gari mpya.Kuna C zinauzwa mkasi sana. Gari kununua ukiangalia hizi herufi unakosa, kuna C mtu alinunua mpyaa ya 2010 na kuna DZX ya mwaka 2004 mtu anaweza kimbilia DZX
''nitanunua used ya UK kuliko Tz simple becoz kichapo ilichokula hio ya Tz ni tofauti na ile ya UK ambayo hata tope haijawahi kanyaga.''Hii Crown ni used car(2004) imeingia Tz as used. Only way ya kudetermine price ni kuangalia ina umri gani hapa Tz. Ni tofauti na gari mpya.
Vile vile ukiniuliza mimi ninunue VW Amarok ya 2016 kwa mtu alienunua TZ 2018 brand new au kwa mtu alienunua hio hio model 2016 UK nitanunua used ya UK kuliko Tz simple becoz kichapo ilichokula hio ya Tz ni tofauti na ile ya UK ambayo hata tope haijawahi kanyaga.
Sometimes tuwaelewe watu wanaoangalia namba, matumizi ya Tz ni muhimu kujua gari imeingia lini TZ.
Ukiangalia location tu ilikopigwa gari utajua tu kuwa gari ni miongoni mwa matatizo 😂😂😂Wakuu hii bei mbona chini sana.View attachment 2321737
2O14 hio mwishoniDDS ni ya lini?
Yeah 2.7L Prado ni underpowered sana. Ila ukiikuta ya 1GR ile ndio mziki mnene. Kwanza ni 4.0L V6 ile ni 271HpDuh kumbe Prado na cc2700 inatoa 163hp tu? Duh
Mtu anayejua gari hawezi fata namba, muhimu ujue mtu anayekuuzia huwa ana treat vipi gari. Kama hohe hahe wengi hawafanyi service kwaKuna C zinauzwa mkasi sana. Gari kununua ukiangalia hiziaherufi unakosa, kuna C mtu alinunua mpyaa ya 2010sevinkuna DZX ya mwaka 2004 mtu anaweza kimbilia DZX