Platnam
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 769
- 1,237
Tafuta ya Nissan mkuu. After market Tesla style radio zipo za kila gari.. Na connector zinakua designed kwa gari husika.Yangu ilikuwa imezingua pia. Ila kuitoa kuweka android haiwezekani, it seems iko deeply integrated na functions nyingine za gari.
Imefunguliwa watu wakachokonoa ICs zile sahizi inapiga kazi freshi na ina mziki mtamu kuliko hizi za kufunga.
Toyota mnafunga Android radio straight tu zile pin zinaingia ila Nissan ni kimbembe, hazimatch