Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Yangu ilikuwa imezingua pia. Ila kuitoa kuweka android haiwezekani, it seems iko deeply integrated na functions nyingine za gari.

Imefunguliwa watu wakachokonoa ICs zile sahizi inapiga kazi freshi na ina mziki mtamu kuliko hizi za kufunga.

Toyota mnafunga Android radio straight tu zile pin zinaingia ila Nissan ni kimbembe, hazimatch
Tafuta ya Nissan mkuu. After market Tesla style radio zipo za kila gari.. Na connector zinakua designed kwa gari husika.
 
Wakuu hii bei mbona chini sana.
Screenshot_20220812-115802_Facebook.jpg
 
Ni kweli kabisa.

Hiyo changamoto inaniwazisha sana.

Nilishauriwa nikichukua gari ya Diesel, nisichukue za Europe, nichukue za South Africa, Japan au USA.

Hazina complication sana kama za EU.
Kwamba hizo hazina dpf na egr? Hizi dpf na egr siyo ni requirements za kupunguZa emissions from diesel engines?
 
Kuna C zinauzwa mkasi sana. Gari kununua ukiangalia hizi herufi unakosa, kuna C mtu alinunua mpyaa ya 2010 na kuna DZX ya mwaka 2004 mtu anaweza kimbilia DZX
Hii Crown ni used car(2004) imeingia Tz as used. Only way ya kudetermine price ni kuangalia ina umri gani hapa Tz. Ni tofauti na gari mpya.
Vile vile ukiniuliza mimi ninunue VW Amarok ya 2016 kwa mtu alienunua TZ 2018 brand new au kwa mtu alienunua hio hio model 2016 UK nitanunua used ya UK kuliko Tz simple becoz kichapo ilichokula hio ya Tz ni tofauti na ile ya UK ambayo hata tope haijawahi kanyaga.
Sometimes tuwaelewe watu wanaoangalia namba, matumizi ya Tz ni muhimu kujua gari imeingia lini TZ.
 
''nitanunua used ya UK kuliko Tz simple becoz kichapo ilichokula hio ya Tz ni tofauti na ile ya UK ambayo hata tope haijawahi kanyaga.''

😀😀😀😀 Haya nimeelewa, ila vizuri kulikagua gari kuna wahindi na waarabu na wana wa masaki baadhi hawazichezeshei sana mapigo.. ukibatika unakula dodo pamaoja na za ubalozi
 
Kuna C zinauzwa mkasi sana. Gari kununua ukiangalia hiziaherufi unakosa, kuna C mtu alinunua mpyaa ya 2010sevinkuna DZX ya mwaka 2004 mtu anaweza kimbilia DZX
Mtu anayejua gari hawezi fata namba, muhimu ujue mtu anayekuuzia huwa ana treat vipi gari. Kama hohe hahe wengi hawafanyi service kwa
Wakati. Gari inakuwa imechoka. Sasa mtu ana gari 4 za maana anakuuzia moja imenyooka eti kisa namba C ya mwaka 2012 uache ukanunue D ya mwaka 2002?😂😂😂
 
Back
Top Bottom