Ipo vyema. Sema ni kampuni mpya, na vyuma vyao ni vipya kabisa.Hii ametengeneza kweli, looks ziko A1
Itafika kipindi watu watataka kusajili magari yao kwa namba za zamani.
Ile hype ya namba mpya itaanza kupotea.
Napenda safari za usiku but ni hatari mnooMkuu wewe mwanachama mwenzangu wa night
trips bonge moja la experience. Lami imepoa engine inatembea on optimum perfomance.
SureSasa ni rahisi na salama kupanda ndege kuliko kutumia gari binafsi.
Muhaya utamuweza kwa misifa?Ila watu kama nyie mnasemaga maneno haya halaf tukiwakuta lokesheni mnajitetea "leo nimetoka na chombo ya wife nipo mnyonge sana road sijazoea mjepu" hali ya kuwa toyota ndo chuma chako cha kutembelea siku zote
Ipo ile ya sasa engine yake ni 2.8L GD-6 which can produce 201 hp,ni diesel type engine.Sio tu kupelekana inaweza ikakalisha kabisa Prado za petrol sababu ALPHARD horsepower zake ni kati ya 168-177HP ikisaidiwa na uzito mdogo huku Prado 3RZ ni 150HP, 2TR ni 163HP, Diesel turbo 1KD-FTV ni 173HP. Inaweza ikaletewa shida na hii Prado ya diesel yenye turbo na torque ya +300N.m
Sawa mkuu safari njema aisee...Kesho naingia Tanga na hii kitu....
Imenyooka chief [emoji23][emoji23]Chuma imekula air intake ya kibishoo [emoji23][emoji23][emoji23] kwa hizo taa sina shaka chuma iko kitozi sana
Hii itakuwa muendelezo wa 1KD huoIpo ile ya sasa engine yake ni 2.8L GD-6 which can produce 201 hp,ni diesel type engine.
Ni 2015 katikati2O14 hio mwishoni
Nimetafuta yes, sijaona.Tafuta ya Nissan mkuu. After market Tesla style radio zipo za kila gari.. Na connector zinakua designed kwa gari husika.
Mimi Nina wazo tofauti kabisa,hii ya TRA kusajili magari ni makosa, usajili wa magari ungefanywa na serikali za mitaa (municipalities),na haya yangekua sehemu ya mapato yaoKumbe!
Sema TRA wangefanya rasmi. Ikibidi kulipia gharama kidogo ya nyongeza kama unataka namba ya usajili ya zamani.
Kwa level ipi ? maana lazima kuwa na system ya ku manage kiusalama piaMimi Nina wazo tofauti kabisa,hii ya TRA kusajili magari ni makosa, usajili wa magari ungefanywa na serikali za mitaa (municipalities),na haya yangekua sehemu ya mapato yao
Yes mkuu kwangu mimi TRA imepewa majukumu mengi, hili la usajili wa magari kila metro zingeruhusiwa kusajili magari, na hakuna kigeni ni kuwa na strong systems, nilitembelea Namibia kipindi fulani nikaona magari yanasajiliwa na metros/municipalities, means gari iliyosajiliwa Songea ikiingia morogoro ni rahisi kutambulika, tra wadeal na kodi kubwa kubwaKwa level ipi ? maana lazima kuwa na system ya ku manage kiusalama pia
Unachozungumza kinawezekana na ni rahisi, kama kutakuwa na strong management ya system kutoka level moja kwenda ingineYes mkuu kwangu mimi TRA imepewa majukumu mengi, hili la usajili wa magari kila metro zingeruhusiwa kusajili magari, na hakuna kigeni ni kuwa na strong systems, nilitembelea Namibia kipindi fulani nikaona magari yanasajiliwa na metros/municipalities, means gari iliyosajiliwa Songea ikiingia morogoro ni rahisi kutambulika, tra wadeal na kodi kubwa kubwa
Exactly mkuu,dunia ya sasa ni technology na sisi kama nchi bado tupo nyuma sana,wenzetu wana vifaa vya kugundua number plate yenye matatizo kama ina fine or imeripotiwa imeibiwa, na wanataka kuanzisha system mpya kwa maombi ya passport, yaani kabla hujapewa passport yako itabidi u activate na kidole cha mwombajiUnachozungumza kinawezekana na ni rahisi, kama kutakuwa na strong management ya system kutoka level moja kwenda ingine
Tanzania wana ma system mazuri mengi ila poor management. Tunaweza kuanzisha mambo kwa fujoo sana ila baada ya mda tunashindwa kuviendelezaExactly mkuu,dunia ya sasa ni technology na sisi kama nchi bado tupo nyuma sana,wenzetu wana vifaa vya kugundua number plate yenye matatizo kama ina fine or imeripotiwa imeibiwa, na wanataka kuanzisha system mpya kwa maombi ya passport, yaani kabla hujapewa passport yako itabidi u activate na kidole cha mwombaji
Possibly hiyo inaweza kua sababu. Japo sijaelewa unauliza Fuga zipo ngapi dunia nzima au bongo tu.... Inawezekana pia dashboard ya Fuga ikawa kikwazo... Sio gari zote zinaweza kuwekwa screen kubwa, unakuta wanaweka hizi universal. Disadvantages ya hizi ndogo ni kutokua na Canbus ambayo kazi yake niku decode information za gari ili iwe na uwezo wa kusoma taarifa kama fuel consumption, speed, door info nkNimetafuta yes, sijaona.
Kumbuka mchina anatengeneza ili atarget market kubwa. Fuga unahisi ziko ngapi mpaka mchina aingie field?
Hakuna kinachoshindikana.Unachozungumza kinawezekana na ni rahisi, kama kutakuwa na strong management ya system kutoka level moja kwenda ingine