Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sio tu kupelekana inaweza ikakalisha kabisa Prado za petrol sababu ALPHARD horsepower zake ni kati ya 168-177HP ikisaidiwa na uzito mdogo huku Prado 3RZ ni 150HP, 2TR ni 163HP, Diesel turbo 1KD-FTV ni 173HP. Inaweza ikaletewa shida na hii Prado ya diesel yenye turbo na torque ya +300N.m
Ipo ile ya sasa engine yake ni 2.8L GD-6 which can produce 201 hp,ni diesel type engine.
 
That feeling
FB_IMG_5995517766605326658.jpg
 
Kwa level ipi ? maana lazima kuwa na system ya ku manage kiusalama pia
Yes mkuu kwangu mimi TRA imepewa majukumu mengi, hili la usajili wa magari kila metro zingeruhusiwa kusajili magari, na hakuna kigeni ni kuwa na strong systems, nilitembelea Namibia kipindi fulani nikaona magari yanasajiliwa na metros/municipalities, means gari iliyosajiliwa Songea ikiingia morogoro ni rahisi kutambulika, tra wadeal na kodi kubwa kubwa
 
Unachozungumza kinawezekana na ni rahisi, kama kutakuwa na strong management ya system kutoka level moja kwenda ingine
 
Unachozungumza kinawezekana na ni rahisi, kama kutakuwa na strong management ya system kutoka level moja kwenda ingine
Exactly mkuu,dunia ya sasa ni technology na sisi kama nchi bado tupo nyuma sana,wenzetu wana vifaa vya kugundua number plate yenye matatizo kama ina fine or imeripotiwa imeibiwa, na wanataka kuanzisha system mpya kwa maombi ya passport, yaani kabla hujapewa passport yako itabidi u activate na kidole cha mwombaji
 
Tanzania wana ma system mazuri mengi ila poor management. Tunaweza kuanzisha mambo kwa fujoo sana ila baada ya mda tunashindwa kuviendeleza
 
Nimetafuta yes, sijaona.

Kumbuka mchina anatengeneza ili atarget market kubwa. Fuga unahisi ziko ngapi mpaka mchina aingie field?
Possibly hiyo inaweza kua sababu. Japo sijaelewa unauliza Fuga zipo ngapi dunia nzima au bongo tu.... Inawezekana pia dashboard ya Fuga ikawa kikwazo... Sio gari zote zinaweza kuwekwa screen kubwa, unakuta wanaweka hizi universal. Disadvantages ya hizi ndogo ni kutokua na Canbus ambayo kazi yake niku decode information za gari ili iwe na uwezo wa kusoma taarifa kama fuel consumption, speed, door info nk

Sent from my MAR-LX1A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom