Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nimetoka Moshi 1630 sasa hivi 2100 nipo Msata, wale wanasema Dar Moshi masaa matano huwa mnaendeshaje? Maana nimetembea balaa!
He he una hakika ulikuwa unatembea haswa? Maana kwa utembeaji wa kilometre 45O ulitakiwa uzifute kwa masaa 4 tu yani Msata ilitakiwa saa 193O uwe ushafika hapo kama kweli ulipasuka mwanzo mwisho.

4GR mashine kubwa mzee baba umefelije, Dar-Moshi haina malori sana 😂
 
Nahisi dunia nzima magari yanasajiliwa kwa manispaa na majiji. Na ukihama unaweza sajili tena unapohamia ni kukeep track. Ila tz ndio hivyo TRA ni kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…