Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kutoka Tegeta njia panda ya wazo hadi Msata ni 1hour. Msata mpaka Segera 1hour.20minutes Segera to Tanga 1hour. Mara kwa mara natumia muda huo kutoka Hapo njia panda ya wazo kwenda Tanga. Muda wa usiku lakini
Mzee nilitaka nikutetee ila kwa swala la kuniambia Msata hadi segera unatembea kwa 1 Hour hio naona ni Africafe coffee kabisa.😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…