Natumia mara chache mkuu....Huwa unatumiaga paddle shifters mzee? Hio Mark X iko makini sana sio kinyonge. Siku ukisema uitoe limiter itakuwa hatari sana huko highway. Maana unafikisha 180 mshale unagota na chuma bado inasonga
Aisee mtanange ulikuwa wa hatari basi, jamaa alikubali mziki lakini maana 1VD ina 235HP mmepisha kwa 20HP hivi ila ile ni diesel nzito kidogo kuchanganya..Hapo ilikuwa ni mwendo kuchoma mafuta tu, ilipigwa show ya kibabe sana... somanga pale tulisimama jamaa wa gxr akasema hapo mbele nakupoteza nikamwambia ok sawa... ila mwisho wa siku ilikuwa ni chupi na tako mwanzo mwisho...
Mi huwa nahisi zina raha sana sema ukiwa free way kama ya mkoani hivyo inakuwa kama unaendesha manual flani.Natumia mara chache mkuu....
Ana gari ukilinganisha na wenzie. 250hp kaweka limiter 180kph ambapo watu na 200hp ndio wanaanzia kuendesha.Aisee mtanange ulikuwa wa hatari basi, jamaa alikubali mziki lakini maana 1VD ina 235HP mmepisha kwa 20HP hivi ila ile ni diesel nzito kidogo kuchanganya..
Halafu kuna mtu anasema Toyota hana gari, juzi kuna crown 3GR ilikuwa inauzwa DUT wahuni waliruka nayo fasta 😃😃😃 yani chaap kwa haraka.
3GR mnaona gari sana eeh 😀😀😀 ya kawaida sana hiyo gariNational Anthem umeona mipasuko hio ya 3GR halafu RPM zimepoa kabisa.
Yeah, still kama barabara inaruhusu ukiitia kwenye manual shift ukaihold gia ya juu una uwezo wa kusave wese big timeKainua mguu huyo
Hahahaha sawa braza, ila kumbuka hii ni bongo sio berlin😅3GR mnaona gari sana eeh 😀😀😀 ya kawaida sana hiyo gari
Quick to maneuverIt's quick but not fast.
Yes exactly.It's quick but not fast.
Mi namaanisha ishu ya overtakes za highwayHuko kwenye manoeuvring ndio itoe kabisa. Huko waachie Impreza,evo10. It's quick means 0-100kph humgusi.
😀😀😀😀 haya haya kikubwa kufika salamaHahahaha sawa braza, ila kumbuka hii ni bongo sio berlin😅
Inatumia second ngapi 0-100 ?Huko kwenye manoeuvring ndio itoe kabisa. Huko waachie Impreza,evo10. It's quick means 0-100kph humgusi.
Around 6-7 seconds uko 100!Inatumia second ngapi 0-100 ?
Hahahah wa 260 kph au 280kph ndio shughuli anaianza kwenye 220 na zaidi 😂😂😂Ana gari ukilinganisha na wenzie. 250hp kaweka limiter 180kph ambapo watu na 200hp ndio wanaanzia kuendesha.
Nikupe M340i 😀😀😀😀 nako kadogo dogo tuuu au nakuoneaaaAround 6-7 seconds uko 100!
Nipe tu kanyooshwe 😂😂😂 af nilichogundua hizi gari za ki berlin sio zote zina power sana basi tu. Propoganda ni nyingi.Nikupe M340i 😀😀😀😀 nako kadogo dogo tuuu au nakuoneaaa