Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hapo ilikuwa ni mwendo kuchoma mafuta tu, ilipigwa show ya kibabe sana... somanga pale tulisimama jamaa wa gxr akasema hapo mbele nakupoteza nikamwambia ok sawa... ila mwisho wa siku ilikuwa ni chupi na tako mwanzo mwisho...
Aisee mtanange ulikuwa wa hatari basi, jamaa alikubali mziki lakini maana 1VD ina 235HP mmepisha kwa 20HP hivi ila ile ni diesel nzito kidogo kuchanganya..
Halafu kuna mtu anasema Toyota hana gari, juzi kuna crown 3GR ilikuwa inauzwa DUT wahuni waliruka nayo fasta 😃😃😃 yani chaap kwa haraka.
 
Ana gari ukilinganisha na wenzie. 250hp kaweka limiter 180kph ambapo watu na 200hp ndio wanaanzia kuendesha.
 
Back
Top Bottom