Pole mkuu, safari za usiku hasa kama unaendesha peke yako na haupo kwenye convoy it's not worth it, safari za usiku ni LAZIMA uwe kwenye convoy na mtambuane sio kujiingiza tu kwenye convoy, ndio maana kama unataka kuendesha usiku on T1 ,ni muhimu uondoke Dar alasiri by 1800 uwe pale msamvu, ukifika pale wale jamaa wa ITs unafanya nao urafiki ili mtambuane na mkitoka pale upo ndani na lolote likitokea unajua una back upAnything kinatokea uwapo na chombo cha moto, ni vyema ku rate usiku na mchana.. Nilishalala porini kishenzi na hakuna gari ilijaribu simama ili kuwa ni sehemu hatari... Nilichofanya nilijiweka fit kwa lolote litalo tokea